Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yawataka waandishi wa habari kuzingatia weledi taaluma ya habari...

 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –Usajili wa Magazeti Bw. Raphael Hokororo (kulia) akisalimiana na Muhariri Mtendaji wa gazeti la The  Guardian Bw. Wallace Mauggo(kushoto) mara baada ya kuwasili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEBU JIONEE MWENYEWE JINSI MGAMBO WA OPERESHENI SAFISHA JIJI WALIVYOVUNJA...

 Mgambo wa jiji LEO wanaoendelea na Operesheni ya safisha jiji kwa kuwaondoa wafanyabiasha wadogo na wauza magazeti katika maeneo yasiyo rasmi, muda huu wamevamia makaburi ya Sheikh Kasim Bin Juma na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya watoto wa mitaani ya jijini Mwanza Yarejea Nchini na Kombe la Dunia...

  Mchezaji aliyesabibisha timu ya watoto wa mitaani kutoka Tanzania kuibuka mabingwa wa Dunia kwa kufunga magoli 3-1 dhidi ya Burundi Frank William (mwenye kofia nyekundu) akiwa na baadhi ya wachezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYIKA ASHINIKIZA KUPATA HATI YA MUUNGANO

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika.MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amesema atawasilisha hoja kuzuia shughuli za Bunge hilo kuendelea mpaka wajumbe watakapopatiwa hati halisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL "SMART PHONE" OFA PATA SAMSUNG S5 LEO

Ofisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akionyesha simu aina ya Samsung S5 mara baada ya kuzindua ofa itakayowawezesha wateja wake kununua simu hiyo na kujipatia vifurushi vya muda wa maongezi, sms...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA BURUNDI

Katibu Mkuu wa CCM,Kinana akiwa na viongozi wengene wakiangalia jinsi watanzania wanavyopata taabu na kunusurika kifo kwa kuvuka kwenye Mto Malagalasi wakitokea kuuza bidhaa zao na kununua mahitaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WASISITIZWA KUWEKEZA KATIKA MIRADI YA GESI NCHINI

Mwandishi wa kitabu kinachoelezea namna watanzania na makampuni ya usambazaji ya hapa Tanzania yanavyoweza kushiriki, kuwezeshwa na kunufaika na sekta ya nishati ya gesi asilia hapa.Naibu Katibu Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT GHARIB BILAL AFANYA ZIARA YA KUKAGUA ATHALI ZA MAFURIKO...

  Sehemu ya daraja hilo, linavyoonekana baada ya kuongezeka upana kwa kulika kutoka mita 25 na  sasa kufikia mita 75, ambapo tayari Malori yameanza kumwaga vifusi vya mawe ili kuziba eneo hilo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA ALAT ZAENDELEA MJINI DODOMA

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya  akichangia maoni yake mjini Dodoma wa kuboresha  mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na...

 Picha juu ni helkopta waliyokuwa wanasafiria Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal na viongozi wengine waandamizi wa mkoa wa Dar Muda mfupi baada ya kupata ajali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI‏

Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira, Ally Makuburi akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kulia ni Musa Mkama mwandishi wa gazeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhidin Maalim Gurumo afariki dunia

  Muhidini Maalimu Gurumo afariki dunia. --- NGULI na Shujaa wa muziki wa dansi nchini na Afrika Mashariki, Muhidin Maalimu Gurumo afariki dunia jana baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda.Gurumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakati Jitihada zikifanyika Kurudisha mMawasiliano ya Barabara, Makamanda Wa...

 Mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo kwa barabara ya Bagamoyo yamekatika. Maji yanayopita katika mto Mpigi ambako daraja halipitiki ni mengi sana kiasi kwamba nguzo tatu zinazopitisha umeme mkubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete,Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya...

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kushiriki misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine.Spika wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AWASILI SALAMA MKOA WA KATAVI USIKU WA KUAMKIA LEO...

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia kwa ufupi wakazi wa mji wa Karema mkoani Katavi usiku wa kuamkia leo mara baada ya kuwasili akitokea mkoani Kigoma kwa boti na kusafiri nayo ndani ya ziwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE BAR YA ARUSHA NIGHT PARK NA KUJERUHI WATU WENGI

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.Majeruhi baada ya bomu kulipuka.Kijana ambaye hakufahamika jina lake amepata majeraha makubwa mguuni baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA MAKONGO, GARI DOGO LADONDOKEWA NA LORI LA MCHANGA, TAZAMA PICHA HIZI

 Hii ni ajali iliyotokea eneo la Makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIYO RATIBA NZIMA YA MAZISHI YA MZEE GURUMO NA SIKU ATAKAYOZIKWA

Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo na mtoto wa kwanza wa Marehemu Mzee Gurumo Ndg Abdallah Gurumo amesema kuwa leo saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa Marehemu eneo la Tabata Kisukulu ambapo...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live