Maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya...
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari Jana jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda...
View ArticleSoma Taarifa Maalum Kwa Umma ya Ufafanuzi Kuhusu Tume ya Katiba:Kutupiwa...
Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”. Habari hiyo inamkariri aliyekuwa...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHIWA CHETI CHA ULEZI WA HIARI WA CHAMA...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma akipokewa na ujumbe wa Tanzania unaohudhuria mkutano wa siku mbili baina ya Afrika na Ulaya mara baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Sheraton...
View ArticleRIDHIWAN JAKAYA KIKWETE AIBUKA KIDEDEA KWA USHINDI WA 86.61%
Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa usiku wa kuamkia leo,. ambapo Mgombea huyo...
View ArticleUNHCR YATOA MSAADA WA GARI MPYA KWA IDARA YA WAKIMBIZI, WAZIRI WA MAMBO YA...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, Harrison Mseke akilionesha gari ambalo amekabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe baada ya kukabidhiwa na Mwakilishi Mkazi wa...
View ArticleTanzania na Umoja wa Ulaya (EU) Ziliposaini Mkataba wa Kubadilishana...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya wa Mambo ya Nje na Usalama, Bi. Catherine Ashton wakiweka saini Mkataba wa...
View ArticleKINANA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKI NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea msafara wa pikipiki wa vijana wa CCM (UVCCM) ambao wanaendesha mbio za Uzalendo Tanzania zikiwa na lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa...
View ArticleTANZANIA MABINGWA WA DUNIA MASHINDANO YA SOKA LA WATOTO WA MTAANI 2014
Mchezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ya watoto wa Mtaani, Kelvin Sospeter a.k.a Nashi akishangilia ushindi wa timu yao dhidi ya Burundi.--Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetwaa ubingwa...
View ArticleWASHIRIKI 112 WALIVYOFANIKIWA KUINGIA HATUA YA PILI KATIKA MASHINDANO YA...
Baadhi ya washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili katika Mashindano ya Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini katika kupitia muswada (script)...
View ArticleTamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinatoa tamko la awali kwa umma kuhusu ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi...
View ArticleWAZIRI MEMBE KUPOKEA TUZO YA AFRICA’S MOST IMPACTFUL LEADER OF THE YEAR KWA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader...
View ArticleMWENYEKITI WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI...
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kulia) ofisini kwake mjini Dar es salaam kuhusu maendeleo ya Bunge Maalum.Katibu Mkuu wa...
View ArticleAMERICAN BILLIONAIRE HOWARD BUFFET IN SERENGETI AND NGORONGORO
Howard Buffett coming out of his private jet at Kilimanjaro International Airport. Howard Buffett received by his host Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu.…Howard Buffett...
View ArticleKINANA ATINGA KIGOMA KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana jioni akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku tano katika Mkoa wa Kigoma, kwa ajili ya kuimarisha uhai...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTENGENEZA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe...
View ArticleCCM YAVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 700 KASULU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Nyenge kata ya Kurugongo wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani humo. Mbunge wa Viti Maalum...
View ArticleKampuni ya Mwananchi Communications Ltd. (MCL) yazindua mpango kabambe wa...
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akipeperusha bendera jana kuashiria uzinduzi wa upatikanaji wa magazeti ya Mwanachi, Mwanaspoti na The Citizen katika Kanda ya Ziwa. Nyuma yake ni Mjumbe wa...
View ArticleBunge la Katiba kuwaka moto upya wakati taarifa za Kamati zitakapoanza...
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Hassan Suluhu (kulia), akipokea ripoti ya Kamati Namba Tano ya Bunge hilo kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo, Hamad Rashid Mohamed Mjini Dodoma...
View Article