Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

Rais Jakaya Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani .Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo.Picha na Freddy Maro-IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

Trending Articles