Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA

Afisa Masoko Bi. Kilave Atenaka (Kulia) wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) akiwasikiliza wateja waliotembelea katika banda kwenye maonyesho ya 39...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTB YAFUTARISHA WATEJA WAO WA ZANZIBAR

Mgeni rasmin na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kulia) akifurahia kwenye jiwe la Msingi mara tu baada ya kuzindua rasmi duka hilo lenye bidhaa zisizo na tozo la Kodi(wa pili kushoto) ni Kamishna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA 2015

Wageni kutoka Chuo Kikuu cha North-western cha Marekani Dk. Sally Harris na mume wake Paul Harris wakifurahia madini aina ya nikeli kwenye banda la Chuo cha Madini Dodoma (MRI) katika maonesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR CHAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR...

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA125 YA KANISA LA KKKT TANGA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA AWAFUTURISHA WAFANYAKAZI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifuturu pamoja na wageni waalikwa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJITOKEZA KWA WINGI KUTEMBELEA BANDA LA MAONYESHO NHC SABASABA

 Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA

 MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya KimataifaSabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Meya wa Ilala, Jerry Slaaakifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbalikatika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM,Diwani wa  kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI...

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum,wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZIA MATARAJIO YAKE ENDAPO ATAPITISHWA NA CCM...

Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU WA KATOLIKI SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mtawa wa kanisa katoliki pamoja na wananchi waliohudhuria  ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRAMBA NA DANIEL YONA WAHUKUMIWA MIAKA 3 KILA MMOJA, GREY MGONJA AACHIWA

Basili Mramba, Daniel Yona, Agrey Mgonja mwingine hakufahamika jina lake wakijadili jambo kabla ya kusomewa hukumu yao hivi karibuni katika mahakama ya Hakimu mkazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDA LA ASAS DAIRIES LTD LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABA SABA DAR ES SALAAM

Rais Dr Jakaya Kikwete akipata  maelezo ya  bidhaa  za Asas Daireis Ltd  kutoka kwa afisa masoko  wa kampuni  hiyo  Bw Jimy  alipotembelea  mabanda mbali mbali  katika  maonyesho ya  sikukuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA WAKUU WA NCHI ZA EAC

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wan chi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL FURSA "TUAKUWEZESHA"

Mariam awezeshwa kufikia ndoto zake kupitia Airtel Fursa "Tunakuwezesha"Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA WAJITOA RASMI BUNGENI, WAONDOKA MJINI DODOMA

UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge.Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live