MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI
Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa...
View ArticleIGP ERNEST MANGU AKIZUNGUMZA NA MASHEIKH
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiongozana na viongozi wa dini ya kiislamu (kulia) Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania katika Mafunzo hayo Sheikh Abubakar Zuber na kushoto ni Mwenyekiti wa...
View ArticleBALOZI WA UINGEREZA AKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose wakati balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Lukuvi ofisini...
View ArticleNEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER
Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya...
View ArticleBENKI YA DCB YAKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA KWA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Mhe.Dkt.Pindi Chana akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Kompyuta katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu kilichopo...
View ArticleMAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA) YAKAMATA WEZI...
Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika nyumba moja ambayo inadaiwa mmiliki wake alikuwa akiiba maji baada ya kujiunganishia kinyemera licha ya kukatiwa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ,LEONIDAS GAMA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati alipokutana na wafanyabiashara katika viwanja vya Kili Homes mjini Moshi kuzungumzia kero mbalimbali zinazowakabili pamoja na kutafuta...
View ArticleBENKI YA EXIM YATANGAZA ONGEZEKO LA ASILIMIA 35 LA FAIDA YA KABLA YA KODI
Kaimu Afisa Mkuu wa fedha wa benki ya Exim Tanzania Bw. Issa Hamisi (wa kwanza kutoka kulia) akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya mapato ya mwaka 2014 ya benki ya...
View ArticleWATU 24 WANAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA GARI LA ABIRIA (...
"Ajali ya Hiace imeua watu 24 eneo la Uwanja wa ndege Kiwila Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili 22 imefanikiwa kutolewa. Kwani Hiace hii ilitumbukia mtoni na bado...
View ArticleBASATA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIJWELE CHE...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa asili Chijwele Chemundugwao kilichotokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam...
View ArticleHARAKATI ZA KUANZISHWA KWA KARIAKOO FAMILY FOUNDATION (KFF)
Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation (KFF) Mohamed Bhinda akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji katika kuandaa rasimu ya katiba ya chama hicho kinachotarajiwa kusajiliwa hivi karibuni kama...
View ArticleMEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa pili kulia) akimsikiliaz kwa makini Katibu wa wafanyabiashara wa soko la Mburahati, Fikiri Pazi (kulia) wakati akimwelezea kuhusu maendeleo ya biashara...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KATIKA BONANZA LA VILABU VYA JOGGING MKOA WA DAR ES SALAAM,...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akianza mazoezi wakati akishiriki katika bonanza la Jogging lililoandaliwa na Kundi la Kaza Moyo Jogging Club la Ukonga Sitakishari ili...
View ArticleNCHI ZA AFRIKA ZA TOA MSIMAMO WAO KWA IMF NA WB
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile kushoto kwake kwa pamoja wakifuatilia kwa makini mkutano wa 10 wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKABIDHI PIKIPIKI 10 KWA MAAFISA AFYA WA WILAYA
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.Picha na Makame...
View ArticleTANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na...
View ArticleTANZANIA INAUNGA MKONO TAMKO LA MWENYEKITI WA AU NA SADC MZEE ROBERT MUGABE...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam, Wakati alipotoa tamko la serikali ya Tanzania kuhusu...
View ArticleMAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO MKOANI MWANZA
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa) Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.
View ArticleWATANZANIA WAFANYA VIZURI MBIO ZA NGORONGORO MARATHONI 2015.
Waziri mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa...
View ArticleEdward Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa (katikati mwenye kapelo), "akitroti" kukimbia sambambana mamia ya watu waliojitokeza kwenye matembezi ya kuunga mkono kupiga vita dhidi ya...
View Article