Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU KAPTENI JOHN KOMBA

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AAGANA NA BALOZI WA JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Balozi wa Japan nchini, anayemaliza muda wake, Mhe.  Masaki Okada wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi zawadi ya kitabu chenye picha na ramani ya jiji la Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AHANI MSIBA WA MTOTO WA MAMA KYENDESYA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji mbunge wa zamani wa Viti Maalum, Florence Kyendesya  wakati alipokwenda nyumbani kwa mbunge huyo  kuhani msiba wa mtoto wa  Mama Kyendesya,  Machi2, 2015. (picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na  akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo tayari kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARI, 2015, YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO...

UtanguliziNdugu Wananchi;Kama ilivyo ada tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuzungumza kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa hotuba za kila mwisho wa mwezi. Kwa mwisho wa mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA UJENZI DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SAME NA MWANGA...

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiweka jiwe na msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni-Vuchama-Usangi-Lomwe yenye urefu wa kilomita 40. Kulia kwake ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYPORT YAZINDUA TAWI LA KWIMBA MKOANI MWANZA

Na Mwandishi Wetu, KwimbaTAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imepongezwa na serikali kwa hatua yake ya kufungua tawi wilayaniKwimba mkoani Mwanza. Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA KINYEREZI 1 KUKAMILIKA MWEZI JUNI; WAFIKIA ASILIMIA 80 YA...

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wanja Mtawazo ( kulia) akisalimiana na Mbunge wa Lulindi- Masasi, Jerome Bwanausi ( kushoto) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI DAMIANO KOMBA KIJIJINI LITUHI JANA

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUVI KATIKA KISIWA CHA YOZU WILAYA YA SENGEREMA AIBUKA NA TOYOTA IST

Kaimu Meneja Mauzo Kanda ya Ziwa wa Airtel Bwana David Wankuru akimkabithi gari aina ya Toyota IST bwana Kijiji Gweso ambaye ni Mvuvi na mkazi wa wilaya ya Sengerema Mwanza mara baada ya kuibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA UJENZI DKT JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA...

Waziri wa Ujenzi ,Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mkuu wa wilaya ya Same ,Herman Kapufi wakati akifanya ukaguzi wa barabara kutoka Korogwe/Mkumbara hadi Same yenye urefu wa  Kilomita 172,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA EFG LAWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTOKA LUSHOTO MKOANI TANGA...

 Ofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Pauline Mdendemi  akizungumza na wanawake wafanyabiashara masokoni katika soko la Mchikichini Dar es Salaam jana kutoka Wilaya ya Lushoto ambao wamekuja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA YAZIDUA UPIMAJI, USIKIVU WA WATOTO WACHANGA.

Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman akikata utepe kuzindua mpango wa upimaji usikivu wa watoto wachanga katika hafla iliyofanyika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar, wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA UTALII YA ITB YAANZA RASMI UJERUMANI

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mh. Philip Marmo katika picha ya pamoja na mabalozi wenzake wanaowakilisha nchi za jumuia ya Afrika Mashariki nchini Ujerumani sambamba na maafisa kutoka Bodi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA

Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai. Ofisi ya Bunge inapenda kuutangazia umma na Wananchi wote kuwa, taarifa hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RUBANI WA NDEGEVITA HOSPITALI YA JESHI LUGALO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakimjulia hali Meja Peter Lyamuya aliyelazwa katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam akiuguza jeraha la mguu alilopata baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHARAKATI WA SIKU NYINGI WA WANYAMAPORI NCHINI TANZANIA AMPONGEZA RAIS...

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matatembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJIJI CHA GONGONI WILAYANI KILOSA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,...

Angelina Mziray Katibu Mkuu wa Women and Poverty Alleviation in Tanzania  , Akiwakaribisha wageni Mbalimbali waliofika katika Sherehe za Kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo wao wameadhimisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo yauwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA MAREKANI NCHINI AMTEMBELEA MWANASHERIA MKU WA SERIKALI

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw....

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live