SEKERETI NDANI YA TAMASHA LA PASAKA DAR
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia) akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili...
View ArticleWADAIWA SUGU BILI WASABABISHA WANANCHI KUKOSA MAJI KATIKA MJI WA MPWAPWA,...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Mpwapwa huku akiwa ameshikilia nyaraka za wadaiwa sugu wa bili za...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA...
Mtaalam kutoka kampuni ya kitanzania ya Derm Electric inayojenga miundombinu ya umeme katika mkoa wa Dodoma chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Azizi Msuya (kushoto) akiielezea Kamati ya Kudumu...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.Baadhi ya...
View ArticleUN YAZINDUA RIPOTI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI
Afisa habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa ripoti ya Kupambana na dawa za kulevya ya...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE KAMBI YA KUPIMA AFYA BILA MALIPO KWA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima...
View ArticleBARAZA LA USHAURI SUMATRA LAZINDUA VILABU VYA WANAFUNZI
 Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini...
View ArticleWaziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowasaa akutana kwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake jana kwa mazungumzo.Mwenyekiti wa...
View ArticleKAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YANYOOSHEA KIDOLE...
Mweka Hazina wa halamashauri ya wilaya ya Mbulu Nicolaus Harabu  akijibu hoja mbele ya kamati ya hesabu za serikali ya mitaa LAAC ilipotembelea kukagua miradi mbalimbali ya Halmashauri hiyo.Mwenyekiti...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa (NHC) lazindua mauzo ya nyumba zake za Victoria...
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanya mahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa...
View ArticleMMILIKI WA KAMPUNI YA URBAN AND RULAR ENGINEERING PAMOJA NA WAJUMBE WAKE...
 Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni  ndugu Paula Mwafongo (Afisa...
View ArticleWADAU WA UTAMADUNI WASHAURIWA KUTOIGA TAMADUNI ZA NCHI NYINGINE
Kaimu Mkuu wa Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Afisa Bw. Habibu Msami akimkaribisha Mgeni rasmi kufunga kikao kazi cha kumi cha sekta ya Utamaduni jana Jijini Dar es...
View ArticleMGOGORO KUHUSU MAGARI YA TANZANIA UTATATULIWA HIVI KARIBUNI- WAZIRI NYALANDU
Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania Mh.Lazoro Nyalandu akizungumza wakati wa hafla ya siku ya Jumuia ya Afrika Mashariki iliyofanyika katika banda la Tanzania katika maonesho ya ITB...
View ArticleKINANA AKUTANA NA WANACCM KUTOKA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU MJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Galawa wakati alipowasili katika jengo la CCM la White House mjini Dodoma akianza ziara katika...
View ArticleSPIKA MAKINDA, WENYEVITI WA BUNGE WATEMBELEA MIRADI YA NSSF DAR
Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa...
View ArticleSTARA T AACHIA WIMBO WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Msanii Stara T, ametoa wimbo mpya UWEZESHWAJI WA MWANAMKE ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya kinamama dunia inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.
View ArticleNAIBU SPIKA JOB NDUGAI ONYESHA "NGUVU" ZAKE JIMBONI KONGWA, KINANA ADUWAA
Mbunge wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai, (katikati), akizungumza kwenye mkutano wa hadhara aliouitisha jimboni kwake ambapo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana...
View ArticleJK AZINDUA RASMI AZAM TV
RAis Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mmiliki wa Azam TV ambayo ni kundi la makampuni ya SS Bkhresa, Said Salim Bakhresa, (watatu kushoto waliokaa), waziri wa habari, utamaduni,...
View ArticleSERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa...
View Article