AJALI YA NDEGE YA JWTZ MKOANI MWANZA
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.Ndegevita za...
View ArticleRAIS KIKWETE AHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshimazao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi waMkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar essalaam...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WILAYANI KYELA
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Kyela baada ya kufungua ukumbi wa Halmashauri hiyo wakiwa katika ziara ya wilaya hiyo Februari 26, 2015....
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel...
View ArticleSERIKALI KUFUFUA BANDARI 14 ZA ZIWA NYASA – WAZIRI MKUU
*Apewa jina la Chifu wa Wanyakyusa, aitwa Mwakabulufu WAZIRI MKUU Mizengo amesema Serikali imeamua kufufua bandari ndogo 14kwenye mikoa mitatu inayozunguka Ziwa Nyasa ili kuimarisha usafiri wamajini...
View ArticleKapteni Komba afariki, aacha mjane na watoto 11
Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) Kapteni John Komba amefariki dunia jana alipokuwa akipelekwa katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam baada ya...
View ArticleRED BRIGADE WA CHADEMA, WALA KIAPO MBELE YA MBOWE, MWANZA
Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, almaarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza jana Jumamosi Februari...
View ArticleRAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA LEO
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
View ArticleWAZIRI MKUU AENDELEA NA ZIARA MBOZI MKOA WA MBEYA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wauguzi na madaktari ya hospitali ya mkoa wa Mbeya wakati alipofika hospitalini hapo kuwaona majeruhi wa ajali ya askari wa kutuliza ghasia iliyotokea...
View ArticleWASHINDI WA TIGO KILI HALF MARATHON WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidaz Gama (kushoto), akimkabidhi hundi ya sh. Milioni 2, mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon Ismail Juma baada ya kushinda katika mashindano hayo...
View ArticleTASWIRA YA MKUTANO WA PAMOJA WA VYAMA VINAVYOUNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI...
Viongozi wa Vyama vya CUF na CHADEMA wakiwa pamoja katika mkutano jijini Washington DC.Mbunge wa Mji Mkongwe Zanzibar Mh Ismail Jussa akiwa katika mkutano wa Pamoja wa Vyama vinavyounda umoja wa Katiba...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AWATOLEA UVIVU WATENDAJI UJENZI WA MAABARA
Mkuu wa Mkoa wa Kinondoni, Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni katika shule ya sekondari Turian iliyopo katika wilaya ya Kinondoni wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya Maabara katika...
View ArticleSALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MHESHIMIWA CAPTAIN JOHN DAMIAN KOMBA (MB)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Captain John Damian Komba kilichotokea jioni ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA KUMUAGA MAREHEMU KOMBA KARIMJEE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleSELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA...
NaibuMeya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akimkabidhi MenejaUkuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori mkataba wa makubaliano yakuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato anayeshudia...
View ArticleMKAZI WA KONDOA AKABIDHIWA TOYOTA IST NA WASHINDI SABA WA AIRTEL YATOSHA...
Meneja wa Airtel Kanda ya Kati bwana Stephen Akyoo (kushoto) akimkabithi mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Saidi Juma Alli (Kulia) mkazi wa kondoa baada ya kuibuka mmoja kati ya washindi wa...
View ArticleDK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View Article