Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIK AZINDUA TAWI JIPYA LA UCHUMI...

Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi SuperMarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi Kawe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO MUSIC YAZINDULIWA RASMI TANZANIA.

Mwanamuziki Profesa J akiimba katika uzinduzi huo.Mwanamuziki Vanessa Mdee akiimba katika uzinduzi huo.……………………………………………………………………………………..Tigo Tanzania leo imetangaza rasmi uzinduzi wa Muziki wa Tigo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NHIF YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO...

 Meneja Kiongozi wa Bima ya Afya CHIF Kanda ya Ilala, Christopher Mapunda akifunga semina ya siku tatu ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DR. SHEIN AWASILI PEMBA TAYARI KWA UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM

Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA

 Rais mpya waZambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum  (Presidential suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini TanzaniaSheria Ngowiakikagua gwaride rasmi kabla ya kuapishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YATOA SEMINA YA HIMAYA MOJA YA FORODHA KWA TUME YA MIPANGO

Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na Mkuu wa Kongane ya Biashara ya Kimataifa na Ushirikiano wa Kiuchumi, Bw. Paul Sangawe (Kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASHIRIKI MAONESHO YA SANAA-MASCUT OMAN

Sehemu ya Juu ya Msikiti wa Pili kwa ukubwa duniani “Masjid Sultan” ambayo Taa yake inayoonekana kwa juu  ina uzito wa Tani nane ikiwa imebeba Balbu 2220. Watanzania Wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO MAALUM LA CCM PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika Skuli ya  Fidel Castro Januari 26,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. FENNELA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI NA...

2- Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiwaeleza jambo Maafisa Mawasiliano Serikalini kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE ARIPOTI OFISINI RASMI

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (kushoto) akipokea maua kutoka kwa mmoja wa watumishi wa Wizara ya Nishati na Madini Lilian Aroko mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Makao Makuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AZINDUA CHAMA CHA...

Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini, (TAGCO), Bw. Innocent Mungy akisoma Taarifa fupi ya Chama hicho kabla ya uzinduzi jana Mjini Mtwara.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII KIBAO WATUMBUIZA TIGO MUSIC!

Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu. Mnenguaji wa Bibiye Khadija Kopa akifanya vitu vyake jukwaaniMze Bichuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. ANGELLAH KAIRUKI AMKABIDHI OFISI MHE. UMMY MWALIMU

Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akikabidhiwa ua na mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Christina Nyenga wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri jijini Dar es Salaam.Naibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA...

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba- Tangi Bovu.Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF, REAL MADRID KUZALISHA VIPAJI VYA SOKA TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhani Dau  akifafanua jambo kwa wageni waliohudhuria hafla fupi ya kusaini mkataba  kati ya shirika hilo na timu ya mpira wa miguu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE NA NAIBU WAZIRI WA...

Mtaalamu kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro iliyopewa kazi ya kujenga kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi I Clas-Eirik Strand (kushoto) akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA DG WA NHC KATIKA MIKOA YALETA MATUMAINI KWA VIJANA

  Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga  nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DHARUBA KUBWA YA THELUJI NA UPEPO MKALI IMEIPELEKEA KUSIMAMISHA HUDUMA ZA...

By Abou Shatry Washington DCZaidi ya watu 60 million wataathirika kutokana na kimbunga kikubwa cha upepo unaoambatana na unyeshaji wa theleji katika eneo la kaskazini mashariki ya Marekani.Lori maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO YATAKA UBIA NA MWEDO

Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO), Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za asasi hiyo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA MAWASILIANO WATEMBELEA MRADI WA KUCHAKATA GESI WA TANZANIA MNAZI BAY...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live