UN TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA MAADHIMISHO YA WAHANGA WA...
Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mh Egon Kochanke akitoa historia fupi ya wahanga wa maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya Wayahudi katika maadhimisho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia...
View ArticleMATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA -JANUARI 27, 2015
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015.Picha zote na Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
View ArticleSHULE YA MSINGI KALOLENI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UZIO WA UKUTA
Katika picha kulia Mwenyekiti mpya wa mtaa wa Kaloleni jijini Arusha Abdul Nassor juzi alikabidhi matofali 100 kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi kaloleni mama Raymond Pudensian kwaajili ya ujenzi wa...
View ArticleUJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI...
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisalimiana na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu ya Jeshi la...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA: WAFUASI WA CHAMA CHA CUF WAKO KIFUNGONI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana CCM wa maskani ya Mnarani Wilaya ya Micheweni na kuzungumza na wanachama wa maskani hiyo, Awali wakisoma taarifa yao mbele ya Katibu Mkuu...
View ArticleKongamano la Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni...
Makamu wa Rais wa Taasisi ya Wataalamu Wathamini na Wapimaji Ardhi na Wakala wa makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi ya kupima ardhi nchini (TIVEA), Hamad Abdallah akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
View ArticleArticle 6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI
Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa...
View ArticleKINANA AZURU KABURI LA DK.OMAR ALI JUMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM na ndugu wa aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI YA UTUMIAJI WA SimBanking NA FAHARI HUDUMA WAKALA
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni...
View ArticleMKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa...
View ArticleMKUTANO WA WADAU WA NISHATI YA UMEME VIJIJINI WAFANYIKA JIJINI DAR
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto ) na Meneja Mradi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Oliver Braedt (kulia) wakifuatilia...
View ArticleKUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge...
View ArticleDIAMOND PLUTINAMZ ATUA NA MPENZI WAKE ZARI MJINI SONGEA
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja...
View ArticleDR. JAKAYA KIKWETE: MBALI YA HAWA WALIOJITANGAZA WANA CCM WENYE SIFA YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Said Mwambungu wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea tayari kwa kuwaongoza wana CCM na...
View ArticleRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI...
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA VIONGOZI JUU YA MABADILIKO YA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi(The Committee of African Heads of State and governments on Climate change) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimakabidhi nakala...
View ArticleWABUNGE WAPEWA SEMINA YA USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA...
Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta ambaye amemuwakilisha Mgeni Rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akifungua Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 kwa Wabunge wa Bunge la...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUJITOKEZA KWA...
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiWakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika...
View ArticleMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI...
Mgeni rasmi Hamad Rashid ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Wawi kupitia CUF akizunguza na wanafunzi walioudhuria kwenye siku ya Career Day iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Biashara (CBE) jijini Dar...
View Article