Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AWAALIKA CHAKULA MATAKTARI BINGWA KUTOKA UINGREZA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiwa na madakatari Bingwawa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo  kutoka Uingereza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI SAADA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KARIAKOO NA MTAA WA NAMANGA

. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiongoza na viongozi wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na maafisa wa Serikali alipofanya ziara ya kushtukiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy waSudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt RiekMachar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF ASHIRIKI HARAMBEE CHUO CHA CBE, AKUSANYA MILIONI 540.8.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPANGO WA BRN SEKTA YA ELIMU UNAMAPUNGUFU – HAKIELIMU

Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA UNGUJA KASKAZINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kikobweni jimbo la Chaani mkoa wa Unguja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watendaji wa Shirika la Nyumba Wafanya ziara ya maeneo ya Matevez na USA...

Baadhi ya watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, waliokuwa katika kongamano la wiki nzima la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine lililokuwa likifanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA YA UMMA YAOMBWA KUIMARISHA UBUNIFU KWENYE SAYANSI HAI‏

 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwenye  semina ya siku mbili iliyohusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAIBUA KIFAA KIPYA MITHILI YA KASUKU SI MWINGINE NI ASHURA...

Mratibu wa Skylight Band, Lubea akimkaribisha mdau wa bendi hiyo Miryam Kamaliza shot ya Tequila wakati wa show iliyobamba wakazi wa Dar Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki.Mratibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA APOKELEWA KWA MCHAKAMCHAKA WA NGUVU JIMBO LA DONGE

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa nne kutoka kushoto  akipokelewa kwa mchakamchaka na Mbunge wa jimbo la Donge na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu  Sadifa Juma Khamis wa tatu kutoka kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , wakati akitoa taarifa kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OBI KUWEKEZA KWENYE SOKO LA SMARTPHONE ZENYE GHARAMA NAFUU TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles, Afrika Mashariki na Kati na Afrika, Amit Rupchandani (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari )hawapo pichani) jijini Dar leo wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTWARA YAPIGA HATUA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji. (Picha zote na Hussein Makame,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSETER MUHONGO AJIUZULU

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na wanahabari ofisini kwake leo.Hatimaye Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo amejiuzulu leo jijini Dar es Salaam.Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA ,...

Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na  Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALHAJ ALI HASSAN MWINYI NA MHE. EDWARD LOWASSA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 20 YA...

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi  katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu wa Mwalimu Julius Nyerere wawataka NHC kuweka uzalendo mbele

Katibu Myeka wa Muasisi wa Taifa hili na Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mzee Samwel Kasori akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa walioshiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Mikoani

 Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa (aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. SHEINI AZINDUZI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA

Rais mpya waZambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum  (Presidential suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini TanzaniaSheria Ngowiakikagua gwaride rasmi kabla ya kuapishwa...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live