Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi na Watendaji wa NHC wapigwa msasa juu ya ukuzaji biashara na...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza jambo katika kongamano hilo ambapo alisisitiza umuhimu wa Watendaji wa NHC kuongeza ubunifu katika kazi zao ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI KUJIONEA NA KUJIFUNZA ATHARI ZA VITA SUDANI KUSINI

Balozi Dk.John Samwel Malecela Waziri Mkuu mstaafu kulia na Nd. Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM ambao ndiyo wasimamizi wa mazungumzo hayo kati ya pande hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YARIDHISHWA NA MIRADI YA MAJI YA...

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (kushoto) akimuongoza Kiongozi wa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi aliyeambatana na wajumbe wengine wa kamati hiyo baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU ZIARANI MKOA ARUSHA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika baadhi ya viwanda vya Arusha lengo likiwa ni kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya Serikali kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA RUSSIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DR. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI KUTOKA UINGEREZA

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITENDO VINAVYOKWENDA KINYUME NA MAADILI YA KIJAMII VYASHAMIRI MIONGONI MWA...

Na Abdulla Ali Maelezo- ZanzibarVitendo vinavyokwenda kinyume na maadili ya kijamii vimekuwa vikishamiri kwa kasi miongoni mwa vijana wa Zanzibar licha ya viongozi wa Dini, Wazee na Walimu kuvikemea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA PSPF

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  leo JumatanoJanuray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji sainimakubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusinikatika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA RUFIJI YAPOKEA VIFAA TIBA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid akimshukuru Mkurugenzi wa kampuni ya Giant Surgical and Pharmaceutical inayojishughulisha na masuala ya afya na tiba Peter Joseph Karia ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA ARUSHA WATOA KIWANJA KWA AJILI YA UJENZI WA CHUO KIKUU HURIA

Mkuu wa mkoa wa Arusha Daud Ntibenda ameamua kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu huria cha Arusha baada ya kutoridhishwa na majngo ya chuo hicho na kudai kuwa hayana hadhi ya chuo hicho na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GRACA MACHEL LAUDS ON THE RIGHTS OF CHILDREN AND ADOLECENTS

The widow of former South African president, Nelson Mandelaand of Mozambican president, Samora Machel, who is an international advocate for women's and Children’s rights, Graca Machel (R )  gestures as...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LATANZANIA LAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA NA CHINA

Spika wa Bunge la Tanzania,  Anne Makinda (kulia), akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI...

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Programu Maalumu kwa Wasichana inayoendeshwa na Chuo Kikuu huria na Nafasi...

Makamu Mkuu wa chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof Tolly Mbwette akifungua mafunzo kwa ajili ya wasichana yanayoendeshwa na chuo kikuu huria na shirika kutoka Canada linaloitwa Nafasi Opportunity...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA MAENEO YA MIRADI YA MAJI WATAKIWA KUTOZEMBEA KUJADILI MAENDELEO...

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.Kiongozi wa ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WhatsApp yawabana watumiaji

Mtandao wa kijamii wa WhatsApp unawabana watu wanaotumia huduma hio kupitia programu bandia na ambayo haijaidhinishwa ya Android kwa muda wa saa 24.WhatsApp ambayo inamilikiwa na Facebook, ilisema kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUITUMIA VYEMA FURSA YA KIMATAIFAKATIKA MAONYESHO YA...

Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akitoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya kiutumishi na kiutendaji wa askari katika Majeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA YAJADILI MUSWADA WA SHERIA...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live