Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6834 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI

Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed  mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA WILAYA YA ILALA WALALAMIKIA MKANDARASI WA UJENZI WA DARAJA LA MAGOLE

WAKAZI wa Kata Kibeberu na Magole, Kata ya Kitunda, Manispaa ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam wamemlalamikia mkandarasi wa ujenzi wa daraja la Magole kwa kushindwa kukamisha ujenzi wa daraja hilo hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC yaendesha kongamano la kuwajengea uwezo wa kusimamia biashara Mameneja wa...

Mhadhiri Mwandamizi wa Biashara  wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Profesa Michael Munkumba akitoa mada asubuhi hii, kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015

 BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO…

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Migombani-Segera, Japhet Albert Kembo akiapishwa leo jijini Dar es Salam. Picha na Immanuel Herman Tukio hilo limetokea jana asubuhi katika ofisi za Serikali za Mitaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN AFUNGUA SEMINA YA MATOKEO MAKUBWA NA YA HARAKA,IKULU ZANZIBAR LEO

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifurahia jambo wakati wa semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA KATIKA JIMBO LA UZINI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Uzini na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha mapinduzi Mh. Mohamed  Seif Khatib mara baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: CCM HAITARUHUSU WANUNUA URAIS KUPENYA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU

 MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU KUHUSU MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA YAWAFIKIA VIJANA WA MBEYA VIJIJINI

Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini Bibi Upendo Sanga akifungu semina ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana iliyoandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES...

Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamishna Mpya wa Ardhi nchini atoa somo kwa Watendaji wa NHC

Kamishna mpya wa Ardhi nchini Dk Moses Kusiluka ambaye pia ni mtaalamu aliyebobea masuala ya Real Estate Finance and Investment akitoa somo kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA URUSI AAGA KWA DK.SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR.

 Katibu Mkuu, Ndugu Kinana akipokelewa  mkoa wa Kusini Unguja  Ndugu Kinana akisalimiana na Masheha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na Naibu Katibu Mkuu Bara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA...

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kualia) akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya sita ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KUWACHUKULIA HATUA KALI WANAOSAMBAZA HABARI ZA UZUSHI HASA WANAOWANIA...

Mwaka huu 2015 ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya nchi. Ratiba ya mchakato wa kuwapata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA

Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA UTT YAHIMIZA USHIRIKIANO WA SOKO LA HISA KWA NCHI ZA...

 Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni  ya Uwekezaji ya UTT, Migangala Simon.Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni  ya Uwekezaji ya UTT, Migangala Simon (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MH.DR. BINILITH MAHENGE BANDARI YA TANGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AMETOA SIKU 90, KWA MKANDARASI MEGHA...

Waziri wa maji Jumanne Maghembe wa kwanza kulia akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII YAFURAHISHWA NA MIRADI YA VIJANA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Mhe. Siad Mtanda akizungumza na wafanyakazi wa Manispaa ya Temeke kamati hiyo ilitofanya ziara ya kutembelea Vikundi vya Vijana vilivyonufaika na...

View Article
Browsing all 6834 articles
Browse latest View live