Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MAGHARIBI ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa jimbo jimbo la Mwanakwerekwe wakati alipowasili katika wilaya Amani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. CHIKU GALLAWA AZINDUA MSIMU WA KILIMO KWA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akilakiwa na wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa alipowasili kijijini hapo Januari 13,2015 kuzindua msimu wa kilimo Mkoa wa Dodoma.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZI

Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya naibu waziri maji mkoani Njombe

Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akielekeza jambo wakati akipatiwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji mkoa wa Njombe,Ndg. Daudi Majani.Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiangalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA KAZI YAKE LEO JIJINI DAR

katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa vikao vya kamati za Bunge vinavyoendelea katika Ofisi za Bunge jijini Dar es SalaamNaibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje Mhe. Edward Lowassa...

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akutana na Nguli wa kughani mashairi...

Mbunge wa Monduli na waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa na Nguli wa kughani mashairi nchini, Mrisho Mpoto 'Mjomba' kwa m,azungumzo katika ofisi ya Mbunge huyo jijini Dar es Salaam leo.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI FENELLA AZINDUA UUZAJI WA FILAMU ZA KITANZANIA KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukungara(MB) akiteta jambo na msani wa filamu nchini Bi. Lulu Michael wakati wa hafla ya kuzindua mfumo wa uuzaji wa Filamu nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIEGO GUTIERREZ KUONDOKA TIGO TANZANIA NA KUPANDISHWA CHEO MILLICOM

Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez (kulia), anayeachia nafasi yake baada ya kuitumikia kampuni kwa miaka mitano, akiwa katika picha na mrithi wake Bi. Cecile Tiano ambaye atakuwa Kaimu Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUPUNGUZA UMASIKINI KUENDELEA KUWA LENGO KUU – UN

Ofisa Habari Umoja wa Mataifa (UN), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Ofisa Habari Umoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS MPYA WA MSUMBIJI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda wakati wa kuapishwa kwa Rais mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi jijini Maputo Msumbiji jana (picha na Freddy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Nyumba za NHC watembelea nyumba zao katika miradi ya NHC Mwongozo...

 Baadhi ya wanunuzi wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa wakitembelea nyumba zao walizonunua katika mradi wa nyumba wa Mwongozo leo asubuhi, mbele yao wa pili kulia ni Mhandisi wa NHC anayesimamia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yafanya ziara eneo lililokabidhiwa na...

Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika eneo la Luguruni utakaojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI DR. FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza wahariri wa vyombo vya habari nchini wajibu na umuhimu wa vyombo vya habari katika mchakato huu wa upatikani wa katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AUNGURUMA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kupokelewa katika Ofisi kuu ya CCM mkoa wa Mjini Magharibi  wilaya ya Dimani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA MKOA PWANI,...

 KAKA wa Rais Jakaya Kikwete Selemani Kikwete akiweka mchanga katika  Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa  katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA...

 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo. Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MKURANGA WAASWA KUCHANGIA DAMU.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (kulia) akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Dkt. Anwar Milulu (kushoto) msaada wa mashuka yenye 90 yaliyotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANO WAJISHINDIA FEDHA TASLLIMU KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao aliyesimama (kushoto)akionyeshwa namba ya mmoja wa washindi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60)...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live