Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6848

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI UNGUJA

$
0
0
 
 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika jana.
 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama jana wakati wa  Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar akifuatana na Paredi Kamanda Luteni kanali Mohamed Khamis Adam  katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa
  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Shein wakati akiwasili uwanjani hapo na baada ya kukagua gwaride la heshima.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika jana katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
 Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mkuu wa majeshi.

  Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake jana katika kilele hicho Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
 
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.
  Wafanyakazi wa Ofisi ya rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ wakipita mbele ya jukwaa kwa maandamano wakati wa sherehe za Kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzinar akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.Picha na Freddy Maro-IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6848

Trending Articles