CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIOMBA SERIKALI KUPELEKA VIONGOZI...
Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu mipango na masuala mbalimbali ya chuo...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10...
Mratibu wa mafunzo ya mfumo wa ukusanyaji taarifa za Afya (D.H.I.S) Suleiman Salum Ali akieleza mafanikio ya mafunzo hayo yaliyofanyika Hoteli ya Double Tree Nungwi, wa kwanza (kulia) ni Profesa...
View ArticleWAHITINU 130 WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU), WATUNUKIWA TUZO KWA KUFANYA...
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba...
View ArticleSAUDIA YAIPATIA SERIKALI YA TANZANIA ZAIDI YA SH. BILIONI 45 KUBORESHA HUDUMA...
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania kwa niaba ya Serikali ya Tanzania jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa...
View ArticleWANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU)...
Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo.Baadhi ya wakuu...
View ArticleKAMATI YA MUDA YA BLOGGERS TANZANIA YAANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA YAO
Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa...
View ArticleJK APIGA TIZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA YAKE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi janakatika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya...
View ArticleIdris kashinda BBA 2014 na kujinyakulia kitita cha dola 300,000 za Marekani
Mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan.Mshiriki kutoka Tanzania aliyekuwa akituakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014.Taarifa...
View ArticleSERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA
Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, James Kajugusi (mwenye suti nyeusi) aliyewamwakilisha Waziri mwenye dhamana wa wizara hiyo,...
View ArticleTICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia) akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations...
View ArticleDIAMOND USIPIME ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV
Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton...
View ArticleWAZIRI CHIKAWE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 22 KKKT JIMBO LA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akifungua zoezi la uchangiaji wa harambee ya kupatikana kwa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFANYA KISOMO KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUPONA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake Ayman Ridhiwani Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumalizika kisomo cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika Ikulu...
View ArticleMAMLAKA YA MAPATO TANZANIA(TRA)WAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA NBAA
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akimkabidhi Tuzo kamishna mkuu wa TRA Rished Bade katika kufunga mkutano wa mwaka wa wakaguzi na wahasibu (NBAA) unaofanyika jijini Arusha ambapo TRA...
View ArticleRAIS DR. SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA MUASISI WA CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na waislamu na Viongozi kumuombea dua Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada...
View ArticleTTB na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kalaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya ligi kuu ya Uongereza ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za...
View ArticleMAADHIMISHOYA SHEREHE ZA UHURU MIAKA 53 LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya...
View ArticleRAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya...
View Article