Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MDOGO WA SAUDI...

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga amekutana na Balozi Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo nchini humo (Dean of Diplomatic Corps)  Mhe. Emad A. Madani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shule za msingi za Rightway zaadhimishwa miaka 10 ya kuanzishwa kwake

Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, Kulia kwa Mkurugenzi ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANYIKA MJINI DODOMA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika  katika eneo la Chimwaga,ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA

 Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia Mijadala ya Bunge hilo kwa Makini. Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia Mijadala ya Bunge hilo kwa Makini. Washiriki wa Bunge la Vijana wakifuatilia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na...

 Profesa Mussa Juma Assad---  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO

Afisa wa mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za simu za mkononi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ITV YAZINDULIWA DSTV

MultiChoice Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa burudani ya kulipiwa ya dijitali pamoja na IPP Media wamesaini makubaliano yatakayoleta chaneli maarufu zaidi Tanzania, ITV, kuwa sehemu ya jukwaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM, Adam Mchomvu akitoa muongozo mfupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka, kuhusiana na ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AFUNGUA MKUTANO WA WATAALAMU WA UGAVI JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha,Adam Malima akiongoza na maafisa wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika mkutano wa Siku mbili unaofanyika kwenye kituo cha mikutano cha AICC, jijini Arusha.Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AVUNA WANACHAMA 167 KUTOKA UKAWA

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Kulia akimsikiliza Aliyekuwa Mwenyekiti Baraza la Vijana la Chama cha wananchi CUF Wilaya ya Morogoro Ndugu Mariam Iswili aliyeamua Kurudisha Kadi ya Cuf...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YASAINI MKATABA WA HALI BORA ZA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa uwekaji saini wa Mkataba wa Hali Bora za Wafanyakazi na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Biashara,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI IKULU

  Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam jana Desemba 2, 2014  Rais Jakaya Mrisho kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANDIKA HISTORIA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

Wakazi wa Mtwara mjini wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI YA MTUNGI SEHEMU YA PILI YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Muongozaji wa Tamthilia ya Siri ya Mtungi, Jordan Riber akizungumza katika uzinduzi wa tamthilia hiyo Sehemu ya pili  kwenye ukumbi wa Cinemax Century jijini Dar es salaam.MC wa shughuli ya uzinduzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA...

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AFUNGUA MAONESHO YA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT. KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA...

Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA DR SHEIN NA VIONGOZI WA MASHINA WILAYA YA CHAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya  Chuo cha...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live