Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi janakatika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwe
zi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.