SKYLIGHT BAND YAENDELEA KULAMBA DUME KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR NDANI YA...
Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower...
View ArticleDAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WALIVYOMEREMETA
Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, Jumamosi Novemba 22,...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA MKOANI MTWARA, AKUTANA NA VIONGOZI WA VIKUNDI VYENYE...
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana akinyanyua mikono juu kuashiria mshikamano na baadhi ya viongozi wa makundi ya Chama cha SPLM cha Sudan Kusini ambao wako kwenye mgogoro wa kugombea...
View ArticleNSSF YAENDESHA SEMINA KWA WAAJIRI, WANACHAMA
NaibuKatibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu(katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Crescentius Magori (kulia) na Meneja Idara...
View ArticleUTT-AMIS YAFANYA MKUTANO WA TATU WA WAWEKEZAJI
Mwenyekitiwa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS),Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatuwa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA...
Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mwili wa marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika...
View ArticleSHILOLE SHISHI BABY ATUA UBELGIJI KWA KISHINDO...IJUMAA ATAFANYA SHOW LEUVEN...
Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel. Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa...
View ArticleUjumbe wa Wawekezaji kutoka Ubelgiji watembelea NHC
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Diodorus Kamala aliyeongoza jopo la wadau wa sekta ya usafirishaji na wafanyabiashara waliotembelea nchini kuanzia Novemba 22- 29 akizungumza kwenye Ofisi ya...
View ArticleKINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI NANYUMBU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiponda mawe wakati aliposhiriki katika ujenzi wa Bwawa la maji linalojengwa katika kijiji cha Sengenya Mangaka wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara akiwa katika...
View ArticleAIRTEL YAJA NA UNI255 KUTOA FURSA KWA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUFAIDI INTANET...
Mkurugenzi wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya...
View ArticleMAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA
Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema akiwakaribishia wakaguzi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake.Mkuu wa Bandari ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba...
View ArticleTanzania yatiliana saini makubaliano na Hospitali ya Iran ya Dubai punguzo...
Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Iran ya Dubai, Dk. Asghar Fashad. wametia saini hati za makubaliano kati ya hospitali yake na Ubalozi Mdogo...
View ArticleTASWIRA KUTOKA BUNGENI BAADA YA KIKAO KUAHIRISHWA LEO ASUBUHI
Mwenyekiti wa Bunge, Mh. Mussa Azan Zungu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakati alipositisha kikao cha Bunge cha asubuhi leo na kuahidi kujibu miongozo yote katika kikao...
View ArticleBILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake...
View ArticleRipoti ya GAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa Bungeni
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali,Mhe Zitto Kabwe akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini,Mhe. Ismail Aden Rage wakati akiwasili bungeni kuwasilisha Ripoti ya Mkaguzi...
View ArticleMHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE NEWALA, LEO...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Neawala Mh George Mkuchika mara baada ya kuwasili mjini Newala akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Mtwara ziara...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE TANDAHIMBA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maghala ya kuhifadhia korosho wilayani Tandahimba, Mtwara wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata...
View ArticleSHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushindarufaa ya...
View Article