Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6838 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU: NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA

Jaji Warioba.VURUGU zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea hivi punde katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)...

 Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa akiwahutubia wajumbe wa Kikao Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati akifunga kikao hicho leo.Kaimu Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Kidata...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata akisikiliza maelezo ya Meneja wa miradi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Gugadi huku Kaimu Mwenyekiti wa  Baraza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALA AHIMIZA AMANI NCHINI

Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la Mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA...

Baadhi ya wanafunzi wa kike wakipata semina kutoka  T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID).Wanafunzi wa kike wakiwa wenye furaha baada ya semina T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TUKIO LILILOTOKEA UBUNGO PLAZA KATIKA MKUTANO WA MWALIMU NYERERE...

 Mkutano ulifanyika kuanzia saa 1520hrs ukiwa chini ya uenyekiti wa Jaji Mstaafu mh. Joseph Sinde Warioba. Mkutano ulihudhuriwa na watu wa kada mbalimbali sambamba na itikadi tofauti za kisiasa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AZINDUA HARAMBEE YA UJENZI WA KITUOCHA WATOTO NA VIJANA-UDSM

Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na  viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam  baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINYWAJI CHA SHUDA COCKTAILS CHAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Govt promises to help NHC lower prices of houses

Permanent Secretary in the ministry of Lands, Housing and Settlements Development, Mr Alphayo Kidata.NHC Director Deneral, Nehemiah MchechuTanga. The government is working on solutions to various...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB

Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima akiwasili ukumbini wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa sh. Bilioni 43 kutoka Benki ya Uwekezaji Ulaya. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE BUNGE LA SADC WAMCHAGUA MH. MAKINDA KUWA RAIS MPYA WA BUNGE HILO

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa SADC baada ya kuchaguliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leoOktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa yamaendeleo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA KUPOKEA MAONI...

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil akitoa hotuba fupi ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO...

Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya utoaji wa Tuzo za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA UTAARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA...

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR LAWAACHIA HURU MWENYEKITI WA BODI YA TPDC...

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI...

Naibu waziri wa Ujenzi Mhe. Gerson Lwenge (Mb) akiwasili eneo la mradi akiambatana na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Peter Serukamba.Wajumbe wa kamati ya bunge ya Miundombinu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO

Aliyekuwa MJumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YASHIRIKI KONGAMANO LA VIJANA LA BIASHARA LILILOANDALIWA NA...

Jumla yaVijana 150 kutoka ndani na nje ya nchi wameudhuria Kongamano la Biashara kwa Vijana lililofanyika jijini Arusha ambapo Benki ya CRDB wakiwa ni miongoni mwa wadhamini wa  kongamani hilo....

View Article
Browsing all 6838 articles
Browse latest View live