JHIKOMAN, ZAWOSE, MAEMBE KUPAMBA ‘KARIBU FESTIVAL’
Msemaji wa tamasha la Karibu Music Festival, Muslim Nassor ‘Jazzphaa’ (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho huo...Wapo pia Prof. Jay, Barnaba, ShiloleNa...
View ArticlePINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni...
View ArticleKAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YATEMBELEA SUDAN
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na Kiongozi wa Kamati ya Bunge ya Kilimo Sudan, Dk. Habib Makhtom wakisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Kurugenzi ya Maandalizi ya Miradi Sudan, Inj. Mohamed...
View ArticleTAARIFA KUHUSU WAZIRI NYALANDU
TAARIFA RASMIKatika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye kichwa cha habari;KASHFA IKULU;· Nyalandu atumia Leseni...
View ArticleTANZANIA YAKATAA RASMI NDOA ZA JINSIA MOJA KWENYE AGENDA ZA MAENDELEO YA MILENIA
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania...
View ArticleRAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI VIETNAM
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath at the Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014President...
View ArticleKamati ya Bunge ya Huduma za Jamii yafanya ziara katika Miradi mitatu ya NSSF...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA MWEZI WA WANAWAKE WAJASILIAMALI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa Maonesho ya mwezi ya Wanawakae wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja...
View ArticleRAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na...
View ArticleCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI, AKOSA DHAMANA NA APELEKWA SEGEREA
Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu . Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa...
View ArticleWanawake waaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari.
Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika...
View ArticleWananchi waaswa kuwa makini na kauli za wanasiasa-IPTL
Katibu na Mshauri Mkuu wa Makapuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Bw. Joseph Makandege, (mwenye suti nyeusi kushoto)...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi...
View ArticleHATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA
Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu.Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri.MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema JANA katika Mahakama ya...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI OMAN
Moja ya barabara za jiji la Muscat, Oman Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtenda wa Shirika la Maendeleo ya Petroli la Oman (PDO), Bw. Raoul Resticci baada ya kuwasili kwenye...
View ArticleH.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has...
H.E. Dilma Rousseff, President of Brazil--UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA MEJA JENERALI AI MFUSE
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange anasikitika kutangaza kifo cha Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse (mstaafu) kilichotokea tarehe 29 Oktoba 2014 katika Hospitali ya Appolo nchini...
View ArticleDelloite Touche wawapiga msasa Mameneja na Wakurugenzi wa NHC juu ya mapitio...
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw Felix Maagi ambaye pia alikuwa akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina kwa Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya tutmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleVIONGOZI WA MSONDO WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha...
View Article