President Kikwete meets China’s prime Minister Li Keqiang in Beijing
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meet and hold talks with Prime minister of the Peoples’ Republic of China Rt.Honorable Li Keqiang at the Great Hall of the people in Beijing this morning when the...
View ArticleTanzania and China Marks 50 Years of Diplomatic Relations
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete delivers his speech during the celebrations to mark 50 years anniversary of the establishment of the diplomatic relations with China held at Diaoyutai State Guest...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NCHINI POLLAND
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...
View ArticleMwandosya amuwakilisha JK Sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Zambia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu asiye na Wizara Mhe. Mark Mwandosya akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe William Ruto wakati wa sherehe za kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Zambia Mjini...
View ArticleMFANYABIASHARA ARUSHA AJIPIGA RISASI NA KUFA
MFANYABIASHARAwa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za wataliikatika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa yaArusha na Manyara, Timoth Mroki (36)...
View ArticleTIBAIJUKA ASISITIZA USHIRIKIANO DUNIANI KUKABILI CHANGAMOTO MBALIMBALI
Baadhi ya wakuu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa nchini wakiwapokea wageni waalikwa kwenye hafla mchapalo ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, akiongea na wasanii na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani wakati akifungua...
View ArticleDK.SHEIN AHUTUBIA MKUTANO WA CCM KIBANDA MAITI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini...
View ArticleUMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA), WASAINI WARAKA WA USHIRIKIANO JANGWANI...
-Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakionesha hati za waraka walizotiliana saini za ushirikiano katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni, Katibu Mkuu wa Chama cha...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS SHANDONG PROVINCIAL HOSPITAL IN CHINA
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete signs a VIP book shortly after he arrived at Shandong Provincial hospital in China this evening. Shadong hospital has been sending doctors to Tanzania since 1978 to...
View ArticleCHINA TO BOOST BAGAMOYO SPECIAL ECONOMIC ZONE
A permanent Secretary in the Ministry of Finance Dr.Servicius Likwelile, a representative from the Sultanate of Oman together with an official from China Merchants Holdings International sign a...
View ArticleBONDIA SAIDI MBELWA APIGA GEORGE DIMOSO KWA POINTI
Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi iliyopita Mbelwa alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi nane Picha...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAWASILISHA MAONI MUSWADA MPYA WA VAT
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwasilisha maoni hayo mbele ya Kamati ya Bunge. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwasilisha maoni...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI VIETNAM KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais MheTruong Tan Sang wa Vietnam wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikuluya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku...
View ArticlePINDA AWASILI MUSCAT OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa wa Kimataifa wa Muscat wa Royal Airport kwa...
View ArticleMRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI AKUTANA NA RAIS WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIZUNGUMZA NA WAWEKEZAJI WA POLAND
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilusha mawazo na viongozi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil baada ya kusikiliza mada yao. Wa pili kulia ni Rais wa Kampuni hiyo, Bw. KRZYSZTOF SWIACKI. (Picha na Irene...
View ArticleMAHAFALI YA PILI YA WAMA NAKAYAMA YAFANYIKA
Wahitimu wa elimu ya sekondari ya kidato cha nne kutoka katika Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira magumu ya WAMA Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani...
View ArticleMBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI, KABWE ZITTO AOMBWA KUJIUNGA NA CHAMA KIPYA CHA...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Tanzania, Samson Mwigamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana (hawapo pichani), kuhusu maazimio ya mkutano wa tatu wa Kamati Kuu ya Chama...
View ArticleNHC YASAINI MIKATABA YA DOLA ZA MAREKANI BILIONI 1.5 NA CHINA KWAAJILI YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akitiliana saini na Kampuni ya Poly Technologies kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Valhalla, eneo la Masaki, Dar es Salaam....
View Article