Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA AFANYAYE KAZI ZAKE NCHINI MAREKANI SAFARI HII...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR, USIKOSE LEO THAI VILLAGE NA...

Hashimu Donode akiimba kwa hisia kalii kabisaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani mashabiki wake.Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UK TRADE & INVESTMENT LONDON/SOUTH EAST TRADE MISSION TO TANZANIA

David Bilingsby, Head of the UK Trade & Investment (UKTI) London/South East Trade Mission to Tanzania fields questions from journalists during a press conference held yesterday at Serena Hotel. On...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA TUNU PINDA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA AKINA MAMA WA KITANZANIA...

Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa TAWA UK Bi Mariam Kilumanga , alipowasili katika Balozi zaTanzania Uingereza. Nyuma ya Mama Tunu ni Mwenyeji wake Mama Joyce Kallaghe na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA ENEO LA...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi akiiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE AWARDED HONORARY PROFESSORSHIP BY CHINA AGRICULTURAL...

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete being awarded Honorary Professorship at the China Agricultural University in Beijing this evening. On the left is Chair of the University Council Jiang Peimin and on...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AU YAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA

Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA...

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fly Dubai yazindua rasmi safari zake nchini

Ndege ya Shirika la Ndege la Fly Dubai ikiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere ikiwa katika uzinduzi wake uliofanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA, VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akimkabidhi kadi ya CCM, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Wilaya ya Nachingwea na Kaimu Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA...

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AFUNGA MAFUNZO ELEKEZI YA WATUMISHI WAPYA

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Barnabas Ndunguru akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (hayupo Pichani)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOI YAJIIMARISHA KATIKA UTOAJI HUDUMA MUHIMU ZA TIBA NA UPASUAJI

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Patrick Mvungi akieleza kwa vyombo vya habari(hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Taasisi hiyo ikiwemo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA CUBA KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA HABARI

Balozi  wa  Cuba  nchini Mh.  Lopez  Toronto  akiongea na Mkurugenzi  wa  Idara  ya  Habari Bw.  Assah  Mwambene  wakati   Balozi  huyo alipomtembelea  Bw. Mwambene Ofisini  kwake  leo  (jana),  katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA

Makamu Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia  na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid   Mahamoud Hamid(kushoto) akisoma taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA WIZARA YA NCHI...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (aliyesimama), akizungumza na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKARABATI NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE WA MPANDA WAKAMILIKA

Meneja wa Uwanja wa ndege wa Mpanda,  Mkoa wa Katavi Seneti Lyatuu akiwaonesha timu ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mpanda. Nyuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CBE YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAJASIRIAMALI WA JIJINI DAR-ES-SALAAM

Mfanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bi. Mariam Tambwe akimkaribisha mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Chuo hicho kwa ajili ya kufanya ufunguzi rasmi wa mafun z ohayo na kutowapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA WANATAALUMA TANZANIA (TPN) WATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA

 Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile, akichangia jambo kwenye kongamano hilo. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Professional Approach Development, Lillian Madeje, akitoa mada kwenye kongamano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim yasaini mkataba wa mwaka mmoja na Stand United FC

Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Kanda ya Ziwa, Bw. Justus Mukurasi (wapili kushoto) akibadilishana mkataba na Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Stand United, Bw. Amani Vicent (wapili kulia)...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live