KINANA AMALIZA ZIARA YAKE KOROGWE, KUENDELEA WILAYANI LUSHOTO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mama Veronica Simba wa Majengo Mombo wilayani Korogwe wakati alipomtembelea jimbo la Korogwe vijijini linaloongozwa na Mh. Steven...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) ‘s Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. CNN is an American basic cable...
View ArticleMAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU...
Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUZI KIVUKO CHA MV TEGEMEO KUFANYA SAFARI ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,...
View ArticleTimu ya Ofisi ya Makamu wa Rais yaagwa leo kuelekea Mororgoro katika michezo...
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo...
View ArticleMsama awapiga jeki KKKT Segerea
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza katika tamasha la Uimbaji na Uchangiaji wa Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Segerea jijini Dar...
View ArticleKINANA AIBOMOA CHADEMA LUSHOTO, KAGONJI NA WAFUASI WAKE WAREJEA CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimkabidhi kadi ya CCM aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Mlalo kupitia Chadema, Charles Kagonji aliyetangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM...
View ArticleTAASISI YA VYOMBO VYA HABARI KUSINI MWA AFRIKA(MISA-TAN) YAADHIMISHA SIKU YA...
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari...
View ArticleKUNDI LA WAMAREKANI WAJA NCHINI KUTIZAMA FURSA ZA UWEKEZAJI
Baadhi ya Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji.Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Washington DC,Suleiman...
View ArticleHafla ya Chakula cha jioni kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund...
Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund, Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza...
View ArticlePICHA BIRTHDAY YA WEMA SEPETU
Wema Sepetu na mama' ake!Wema!Mboni Masimba wa Mboni Talk Show akishow love!Mpango mzima ulikua hapa!Happy Birhday Madame!Zawadi ya Gari toka kwa Chibu ikionekana kwa mbali!WE ALL WISH HAPPY BIRTHDAY....
View ArticleBALOZI WA JAPAN ZIARANI WILAYANI MONDULI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassaakimkaribisha wilayani Monduli Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipowasili wilayani humo juzi Jumapili...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,...
View ArticleAIRTEL FAMILY DAY 2014 YAFANA
Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), KemaMabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindanola kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel,...
View ArticleSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU...
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO. Walter NnkoNaibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson...
View ArticleMKUTANO WA MAAFISA WANADHIMU WA POLISI MOSHI
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (kushoto) akielekea kufungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza stoo wa Jeshi la Polisi kutoka Mikoa na Vikosi vya Polisi kote...
View ArticleBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA TECH KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA...
Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda Tech akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ifunda TechUongozi wa shule ya...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA NA WANA BUMBULI WATETA, DIWANI AFUKUZWA MKUTANONI NA WANANCHI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba wakati alipowasili katika kata ya Mbuzii ambapo...
View ArticleUSHIRIKIANO WA OMAN, ZANZIBAR UTAENDELEA KUKUA
Mhe. Said Ali Mbarouk akiwa na mwenyeji wake Waziri wa Habari nchini Oman Sheikh Dk. abdulla wakati alipofanya mazungumzo katika ofisi yake tarehe 29 Septemba 2014 akiwa katika ziara rasmi ya siku...
View ArticleONESHO LA S!TE KUFUNGULIWA LEO (KESHO JUMATANO) MLIMANI CITY
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said vMeck Sadick (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es jana juu ya kufanyika kwa maonyesho ya utalii yanayoratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)....
View Article