MFUKO WA AKIBA NSSF YATOA SEMINA KWA MAOFISA AJIRA NA FEDHA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori (kulia) akifungua semina ya maofisa Ajira na Fedha toka Mkoa wa Temeke iliyofanyika jijini Dar es...
View ArticleMTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian...
View ArticleMAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS FORMER NEW YORK MAYOR BLOOMBERG AND WB VICE PRESIDENT
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete welcomes and holds conversation with The Vice President of the World Bank Africa Region Mr. Makhtar Diop in New York this morning. President Kikwete who is New York...
View ArticleTBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
Kaimu mkuu wa mkoa wa Morogoro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka akikabidhiwa zawadi ya fulana na Mkurugenzi wa uhusiano na sheria wa TBL, Steven Kilindo yenye ujumbe wa wiki ya...
View ArticleMAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM MWAKA...
KUSOMA MAJINA HAYO BOFYA HAPA>>>>
View ArticleHALMASHAURI YA MPANDA YAKAMILISHA UJENZI WA MAABARA KWA ASILIMIA 100
.Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya.Mpanda Yasini Kibiriti akifungua kikao cha Baraza la Madiwani kwenye ukumbi wa mikutano halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.Diwani wa Viti Maaalum Tarafa ya Mwese...
View ArticleMWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE.SAMUEL SITTA AKIONGOZA BUNGE HILO...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 26 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Stephen Werema akisoma taarifa ya Mahakama Kuu...
View ArticleUJUMBE WA CHUO CHA WATAALAMU WA MAGONJWA CHA NCHI ZA MASHARIKI,KATI NA KUSINI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Prof. Ephata Kaaya (kulia) akiongoza Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na...
View ArticleEVELYN BAASA NDIYE REDD’S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa. Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora yaRedd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindiwa taji hilo, Evelyn Baasa...
View ArticleTCAA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 200 KUFANYA MABORESHO YA MAWASILIANO
ZAIDI ya shilingi milioni 200 zimetumika katika maboresho ya kituo cha mawasiliano cha Mnyusi mkoani Tanga kinachotumika kupokea na kutuma mawasiliano ya radio zinazo tumika katika usafiri wa anga.Hayo...
View ArticleUKOSEFU WA UWAZI NI CHANZO CHA RUSHWA
KUTOKUWEPO kwa uwazi, uadilifu na uwajibikaji katika mikataba mbalimbali ambayo serikali inaingia na wawakezaji kutoka nje ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa rushwa kwa baadhi ya watumishi wa umma na...
View ArticleVYOMBO VYA HABARI VYATAKIWA KUJENGA MAADILI KUANZIA NGAZI YA FAMILIA ILI...
RAI imetolewa kwa vyombo vya habari, taasis mbalimbali, vikundi vya kijamii, wananchi na serikali kushirikiana kwa pamoja katika kujenga jamii yenye maadili kuanzia ngazi ya familia ili kuleta...
View ArticleMASHINDANO YA VIPAJI VYA WANAWAKE (WOMEN TALENT SYSTEM) YALIVYOFANA KATIKA...
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe, Fabiola Massula (kushoto) akizungumza wakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT...
View ArticleKAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA ZAPENDEKEZA KUWEPO KUZUIA RUSHWA NA UHUJUMU...
Baadhi ya Kamati za Bunge Maalum la Katiba zimependekezwa kuwepo kwa Ibara mpya inayohusu kuanzishwa kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na Uhujumu Uchumi katika sura ya 15 ya Rasimu ya Katiba...
View ArticleKAMATI ZAPENDEKEZA KUANZISHWA TUME YA WALIMU NA NYINGINE
Baadhi ya Kamati za Bunge Maalum la Katiba zimependekezwa kuwepo kwa Ibara mpya inayohusu kuanzishwa kwa Tume za Huduma za Sekta, mbalimbali ikiwemo ya Afya, Elimu , Walimu na nyinginezo ili kuweza...
View ArticleYALIYOJIRI JANA JIONI BUNGE LA KATIBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleMKE WA WAZIRI MKUU, MAMA TUNU PINDA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOFUNGUA MFUKO WA...
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipozindua Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mke wa...
View ArticleNBS YASISITIZA MATUMIZI YA KANZA YA TAKWIMU ZA KILIMO
Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madebe akifungua semina ya wadau ya uhamasishaji wa matumizi takwimu za kilimo zinazopatikana kupitia Kanzi rasmi ya...
View ArticleMADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA KUTEMBELEA HIFADHI YA KATAVI
Madiwani wa wa Halmashauri ya Mpanda wakiwa katika Picha ya Pamoja nje ya ofisi ya hifadhi ya wanyama pori Katavi kabla ya kuanza safari ya kutembelea hifadhi hiyo.Hapo wanyama aina ya viboko...
View Article