WATANZANIA WATAKIWA KUONA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) NI MALI YA UMMA
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Bima la Taifa (NIC) katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama...
View ArticleAIRTEL YATOA VITABU KWA SHULE YA SEKONDARI SHIBULA MWANZA
Meneja Airtel Kanda ya Ziwa Raphael Daudi (Kushoto) na Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Juma Kasandiko wakiwa wameshikilia kitabu baada ya makabidhiano ya vitabu vya shule ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa...
View ArticleWASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU...
Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki jana 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo...
View ArticleMICHUANO YA DR NDONDO CUPMWAKA SPORTS EXTRA KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA
Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa...
View ArticleBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPENDEKEZA IBARA 274 BADALA YA 271 ZA TUME
BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPENDEKEZA IBARA 274 BADALA YA 271 ZA TUME .IBARA 186 ZA TUME ZABORESHWAIBARA 41 MPYAIBARA 47 ZA TUME ZABAKI KAMA ZILIVYOIBARA 28 ZA TUME ZAFUTWANa Mwandishi wa...
View ArticleBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPENDEKEZA MAKAMU WATATU WA RAIS
Bunge Maalum la Katiba limependekeza muundo wa uongozi wa Serikali utakuwa na Makamu watatu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleUKOSEFU WA UELEWA NA IMANI POTOFU NI MOJA YA CHANZO CHA UNYANYAPAAJI KWA...
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York24/9/2014 Ukosefu wa uelewa na imani potofu miongoni mwa wanajamii ni moja ya chanzo cha unyanyapaa kwa watoto wenye tatizo la usonji (Autism) .Hayo yamesemwa jana na...
View ArticleETIHAD AIRWAYS IN DAR ES SALAAM
TANZANIA AIRPORTS AUTHORITY (TAA) Press Release Etihad Airways in Dar by December*Reveals Network Growth StrategyThe Abu...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA AFYA KUHUSU SARATANI YA SHINGO YA...
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika wakimsikiliza Mama Salma alipokuwa anahutubia mkutano huoMke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA,...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA KILINDI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kilindi Mh. Selemani Liwowa mara baada ya kupokelea katika kata ya Kwediboma wilayani Kilindi ambapo pia ameshiriki katika...
View ArticleTWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa...
View ArticleMSANII WA MAREKANI T.I KUTUMBUIZA LIVE DAR ES SALAAM KATIKA FAINALI ZA FIESTA.
Mkurugenzi Mkuu wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efraim Mafuru (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Prime Time Promotion Ruge Mutahaba katika hoteli ya Serena wakati wa kumtambulisha...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI YAFANYIKA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na...
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014.Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEAMAKAO MAKUU YA EAC, AICC, AUWSA
Mkuuwa Wilaya ya Arusha mjini,John Mongela akisalimiana na Warembowanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisinikwake jijini Arusha. Warembo hao Septemba 27 wanataraji...
View ArticleSERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA TATIZO LA MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA KWA...
Serikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma kwa kujenga nyumba Elfu 10 za gharama nafuu kote nchini.Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo...
View ArticleVIONGOZI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MKOANI KATAVI...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi na wafuasi wake 16 wa wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya maandamano bila kibali.Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleMASHEIKH NA MAPADRE KUSAKATA KABUMBU UWANJA WA TAIFA OCTOBA, 12 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu kati...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ALIMA KWA POWER TILLER MAHENGE...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivua viatu vyake tayari kwa kushiriki kulima shamba la la mpunga katika mradi wa Umwagiliaji wa kata ya Mahenge ambao taarifa ya mradi huo imesema...
View Article