MAGAVANA WA BENKI YA PTA KUKUTANA TANZANIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira (katikati) alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dodoma juu ya mkutano wa 30 utakaofanyika nchini mwishoni wiki hii....
View ArticleMWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AUNDA KAMATI NDOGO
Na Magreth Kinabo, Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta ameunda kamati ndogo yenye ujumbe wa watu 10 kwa ajili ya kushughulikia masuala ambayo hayakufikia muafaka wakati wa...
View ArticlePINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa...
View ArticlePINDA AWASILI MWANZA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza...
View ArticleMISS TEMEKE 2014 APATIKANA,TCC CLUB CHANG’OMBE JIJINI DAR
Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC...
View ArticleDANSI LA SERENGETI FIESTA LILIVYOCHENGUA JIJI LA TANGA
Kikundi cha Platinum Dancers kikionyesha umahiri wao wakati wa shindano la kumsaka mshindi wa dansi la Serengeti fiesta, lililofanyika katika Ukumbi wa Klabu Lavida , mjini Tanga leo ikiwa ni sehemu ya...
View ArticleVIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI...
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Steven Kebwe (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi Dkt. Elias Chinamo moja ya kifaa (kamera)...
View ArticleAIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA NA KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA...
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye...
View ArticleWABUNGE WA CCM WAUNGURUMA HUKO MTERA MKOANI DODOMA
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala...
View ArticleAJIRA ZA MADIMBA NI ZA WATANZANIA- MASWI
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akikaguamaendeleo kinapojengwa Kituo kikubwa cha Kuchakata gesi eneo laMadimba mkoani Mtwara. Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Meneja Mradi waUjenzi wa...
View ArticleZOEZI LA UHAKIKI WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU LAFIKIA UKIKONGONI
Mama Mkimbizi kutoka nchini Kongo akiwa na mwanae, pamoja na wakimbizi wengine wakisubiria kwenda kufanyiwa uhakiki wa taarifa zao jana ili waweze kutambulika rasmi kuwa ni wakimbizi katika Kambi ya...
View ArticleMAGWIJI WA REAL MADRID WAZINDUA DUKA JIPYA LA VIFAA VYA UMEME LA TROPICAL...
Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Tropical.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), akisalimiana na mwanasoka bora mstaafu wa timu ya Real Madrid, Fernando Sons (kushoto),...
View ArticlePINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MJINI MOROGORO, AWATAKA VIONGOZI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania(MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakati akiwasili eneo la Mambogo katika manispaa ya wilaya...
View ArticleWAKONGWE WA REAL MADRID WAKWEA MLIMA KILIMANJARO
Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA...
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisaBarnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wikiWadau nao...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014.PICHA NA IKULURais...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KATAVI DKT RAJABU RUTENGWE AZITAKA IDARA ZA MAJI KULINDA...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt Rajabu Rutengwe mwenye shati la Kitenge wa pili kushoto akitoa maagizo kwa msisitizo huku akionesha ishara ya mikono kwa Mamlaka ya Maji Mjini kuhakikisha wanalinda na...
View ArticleRAIS DR. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira...
View ArticleBUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE DAR ES...
Spikawa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret NantongoZziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi zaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam...
View Article