WAREMBO WA MISS TANZANIA KUVAA NGUO ZA S &D COLLECTION
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akimtambulisha Mkurugenzi wa Kampuni ya S&D Collection iliyotangaza udhamini wa shindano la Miss Tanzania Bi. Devotha Kajogoo Mtambo kulia...
View ArticleKAAT WAJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw....
View ArticleSerikali kutatua mchangamoto za barabara kuwezesha miradi ya NSSF kufanikiwa
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisisitiza jambo baada ya kupata maelezo juu ya maendeleo ya Mradi wa Daraja la Kigamboni kabla ya kufanya ziara ya siku moja ya kutembelea Miradi iliyofadhiliwa na Mfuko wa...
View ArticleHUAWEI’S ELTE TECHNOLOGY TO BOOST ANTI-POACHING CAMPAIGN
HUAWEI Technologies (T) Limited Channel Executive, Mr. Moses Hella (left) explains to the President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Jakaya Kikwete on the company’s latest introduced latest...
View ArticleJaji Lewis Makame afariki dunia
Aliyekuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), tangu kuanzishwa kwake mwaka 1993 chini ya mfumo wa vyama vingi, Jaji Lewis Makame amefariki dunia.Taarifa iliyopatikana jana jioni na...
View ArticleKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe ameelezea kuridhishwa kwake na kazi ya ukarabati wa Kivuko cha MV Kigamboni unaoendelea chini ya kikosi cha Ufundi cha Jeshi la Wananchi Tanzania...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea nyumba za NHC Kibada
Mizengo Pinda akiwa na Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC zilizoko eneo la Kibada Kigamboni...
View ArticleKATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI ARIDHISHWA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wapili kutoka kulia akipita kukagua matengenezo yanayoendelea ya Kivuko cha MV Kigamboni. Kulia kwake mwenye kofia ya njano ni Dkt. Wiliam Nsahama...
View ArticlePINDA AFUNGUA MKUTANO WADAU WA BARABARA NA KUZINDUA KIWANDA CHA NONDO, KAMAL
Wahandisi wa Halmashauri za Wilaya wakiapa mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa watafanya kazi zao kwa uaminifu wakati Waziri Mkuu alipofungua mkutano wa Wadau wa Barabara wa Serikali za Mitaa...
View ArticleMCHAKATO WA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo...
View ArticleLHRC, WASANII KUZINDUA FILAMU NA WIMBO WA KATIBA KWA AJILI YA KUHAMASISHA...
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (katikati), akionesha Rasimu ya Katiba Mpya wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam,...
View ArticleMATUKIO YA PICHA KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake jana kwenye ukumbi wa...
View ArticleMtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge...
Mtangazaji mahiri wa habari za michezo,Maulidi Baraka Kitenge akisaini Mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa...
View ArticleJeshi la Wananchi wa Tanzania -JWTZ Wazindua Rasmi Wiki ya Jamii kwa Kutoa...
Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sarah Wambali akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWENYE MSIBA WA MAREHEMU JAJI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa walipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa...
View ArticleMABASI MAWILI SABENA NA AM YAGONGANA USO KWA USO MLOGOLO-SIKONGE
Basi la Sabena la Mbeya kwenda Mwanza na AM Dreamline ya Mwanza-Mpanda. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Mlogolo takribani kilometa 4 to wilaya ya Sikonge.Mashuhuda wanadai takribani watu kumi au zaidi...
View ArticleMKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akipokea saluti mara baada ya kuwasili kwenye ufunguzi wa kiwanja kipya cha Michezo kilichopo Makao Makuu ya Brigedi ya Nyuki Migombani....
View ArticleAIRTEL YAWAFIKISHIA WANAKIJIJI WA SIGUNGA KIGOMA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Timu ya Airtel wakiongozwa na Emanuel Rafael zone Businnes Manager mara baada ya uzinduzi wa mnara wa kampuni ya mawasiliano ya airtel katika kijiji cha Sigunga wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma hafla ya...
View ArticleJK MGENI RASMI MASHINDANO YA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JUMUIYA YA AFRIKA...
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapopichani) leo...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO
Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la...
View Article