Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA CHADEMA KATA YA RUAHA JIMBO LA IRINGA MJINI YACHUKULIWA NA CCM BAADA...

Katibu wa CCM kata ya Ruaha Rashid Shungu ( wa  pili  kushoto ) na kada wa Chadema aliyehamia CCM Ibrahim Mmasi  pamoja na  wanachama  wengine wa CCM wakiwa  wameshika bendera ya CCM ambayo itapepea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI ELIAKIM MASWI AFUNGUA SEMINA KWA...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amefungua mafunzo yaliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini  Wakazi na  Wataalamu  kutoka Wizara ya Nishati na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Agosti 14, 2014Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC RUKWA YAKABIDHI MASHINE ZA MATOFALI YA KUFUNGAMANA KWA VIJANA WA...

 Vijana wakisilikiliza  kwa umakini maelezo kuhusu mashine za kutengeneza matofali ya kufungamana ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Rukwa  ili kuwezesha vikundi vilivyoanzishwa vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOO UANZE WEEK – END YAKO KWA KUSAKATA RHUMBA NA SKYLIGHT BAND LEO THAI...

Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDIO ZA KIJAMII ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHINDA NA LG KATIKA PROMOSHENI INAYOENDESHWA NA GARNET STAR LIMITED

Mkurugenzi wa Garnet Star Limited Bw. Rajesh Darji akimkabidhi zawadi ya runinga yenye upana wa inch 55, aina ya Ultra HD Bw. Daniel V. Chuwa kutoka Moshi.Mkurugenzi wa Garnet Star Limited Bw. Rajesh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited...

 Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WALIOSHIRIKI TAMASHA LA KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 MJINI DODOMA...

  Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana, walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKATIBU UENEZI WA CCM WA KATA 90 MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATIWA SEMINA ELEKEZI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida (katikati), akizungumza na makatibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MUGABE AMTUNUKU BRIGEDIA JENERALI(MSTAAFU) HASHIM MBITA

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti yake Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA TANZANIA AIBUKA MSHINDI WA KWANZA TUZO YA ISHA SADC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA BARABARA KUWEZESHA MIRADI YA NSSF KUFANIKIWA

Meneja Miradi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo akitoa maelezo juu ya mradi wa NSSF wa nyumba wa Mtoni Kijichi wenye thamani ya shilingi bilioni 4,500, kwa waziri mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) LAPAMBA MOTO

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI FIESTA BUKOBA ILIKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI!

Msanii wa kundi kijulikanacho kama International, Moses Nyama akiwaongoza wenzake wakati wa onyesho la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika jana jioni Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Tamasha hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUWASHIRIKISHA VIJANA KATIKA PROGRAMU ZA MAENDELEO

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

METL GROUP YAPATA MKOPO WA BILIONI 300/- KUTOKA RMB

Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mohammed Dewji (MB) akisoma risala yake kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa Bilioni 300 za kitanzania kutoka Benki ya Rand Merchant ya Afrika Kusini (RMB)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE

Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATCH AND LISTEN: “Ole Themba”-Linah [Audio + Video]

“Ole Themba”-LinahWith talent, there must be courage and vision. If you can’t develop a rich, golden tan faster and keep it longer, you choose to work with people who knows something you don’t know....

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live