WANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA MAKETE WATAKIWA KUWA MFANO BORA KIELIMU...
Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani)Maktaba ya shule...
View ArticleFLAVIANA MATATA FOUNDATION NA PSPF WAKABIDHI VIFAA VYA SHULE LINDI
Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA INDIA DESK
Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), wakizindua kwapamoja hudumampya ya India Deskinayowaunganisha wawekezaji na...
View ArticleBBC YAZINDUA STUDIO ZAKE NCHINI,KIPINDI CHA ASUBUHI CHA AMKA NA BBC KURUKA...
Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu, Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam, katika Jengo lao...
View ArticleMABWENI YA SHULE YA SEKONDARI YA MIVUMONI ILIOPO KWENYE MSIKITI WA MTAMBANI...
Moto Mkubwa ukiendelea kuwaka katika eneo la juu la Jengo la Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Mivumoni (Mivumoni Islamic Seminary) iliyopo ndani ya Msikiti wa Mtambani,Kinondoni B Jijini Dar es Salaam...
View ArticleMAMA AISHA BILAL AZINDUA SABUNI MPYA YA OMO FAST ACTION
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mama Aisha Bilal akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sabuni ya Unga ya Omo Fast Action uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam...
View ArticlePINDA AADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glasi na mjukuu wake Nicole katika mkusanyiko mdogo na mfupi sana wa kifamilia wa kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwenye makazi yake kwenye hoteli...
View ArticleMKURUGENZI IDARA YA HABARI( MAELEZO) ATEMBELEA VITENGO VYA MAWASILIANO...
Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika...
View ArticleNAIBU WAZIRI MASELE AWATAKA VIJANA KUJIKITA KATIKA MAMBO YA SAYANSI NA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhe. Stephen Masele (kulia) akimkabidhi zawadi Kijana Mwanasayansi Duniani toka nchini India wakati wa kufunga Kongamano la Tatu la Wanasayansi Vijana...
View ArticleMISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI...
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es SalaamRais Mstaafu...
View ArticleHESLB YASHIRIKI MAONYESHO YA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Ndg. Asangye Bangu akimkaribisha Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal kwenye Banda la Bodi.
View ArticleWASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA KWANZA LA KIMATAIFA LA MUZIKI LITAKALOFANYIKA...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote nchini wa sanaa za muziki wa asili na kiutamaduni kuchangamkia fursa ya kushiriki tamasha la kimataifa la muziki linalotarajiwa kufanyika...
View ArticleTAASISI YA WATUMISHI HOUSING KUTUMIA BILIONI 400 KUJENGA NYUMBA ZA WATUMISHI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...
View ArticleTAASISI YA WATUMISHI HOUSING KUTUMIA BILIONI 400 KUJENGA NYUMBA ZA WATUMISHI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...
View ArticleMWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA ASEMA KATIBA ITAKUWA NI YA MAKUNDI YOTE.
Na Magreth KinaboMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewahakikishia Watanzania kwamba Katiba Mpya itakayopatikana itakuwa imezingatia matakwa ya makundi mbalimbali.Mhe . Sitta...
View ArticleMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA TAA YAKABIDHI MADAWATI 100 SHULE YA...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Tanzania TAA Bw. Suleiman Suleiman akisaliiana na wanafunzi wa shule ya msingi Yombo mara baada ya kuwakabidhi madawati 100 yaliyotolewa na Mamlaka hiyo kwa...
View ArticleKIKWETE: SERIKALI HAINA MAMLAKA YA AMRI KUZUNGUMZIA URAIA PACHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya MkrishoKikwete akiingia ukumbini wakati wa kongamano la Watanzania waishioUghaibuni lililofanyika kwa mara ya kwanza nchini jana Jijini Dar es...
View Article