Hotuba Ya Mhe Rais Jakaya Kikwete Kwa WaTanzania Washington DC. Aug 2, 2014
Karibu kusikiliza hotuba ya Mhe. Dk Jakaya M Kikwete alipozungumza na waTanzania usiku wa Agosti 2, 2014 kwenye hotel ya Marriot, jijini Washington DC nchini Marekani.
View ArticleMFUKO WA FURSA SAWA KWA WOTE (EOTF) WAKABIDHI MSAADA WA VITABU KWA TAASISI 48...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Emmanuel Matee akielezea historia ya mfuko huo kwa wadau mbalimbali wa elimu katika hafla ya kupokea vitabu kwa ajili ya shule za Msingi,...
View ArticleHOTUBA YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. SAMUEL SITTA KATIKA...
Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu wetu kwa kuendelea kutupa uhai na afya hadi leo kutuwezesha...
View ArticleTazama Mdahalo wa Katiba Uliyoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere Jijini...
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
View ArticleKAMPUNI YA NDEGE YA FASTJET YAZINDUA SAFARI ZAKE KATI YA (DAR – HARARE-DAR)...
Waziri wa Usafirishaji wa Zimbabwe Dr. Orbet Mpofu wa tatu kutoka kulia na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Balozi Adadi Rajabu wa tatu kutoka kushoto wakiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali...
View ArticleWATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA...
Afisa Mauzo, Deogratius Batakanwa na Afisa Masoko Chediel Msuya wa NHC wakiwaelimisha Maafisa wa TFDA juu ya utaratibu wa kumiliki nyumba za NHC. Maafisa hao walifika katika banda la maonyesho la NHC...
View ArticlePSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO
MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI) AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AZINDUA KISIMA CHA MAJI, LAMBO KATIKA KIJIJI CHA JAMII YA...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANASAYANSI...
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, akizungumza katika Kongamano hilo kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Picha na OMR Waziri wa Nishati na...
View ArticleHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE...
MamaShujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi zawadi zake Wilayani kwake UkereweEluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA PPF AFANYA MAZUNGUMZO YA AWALI KUHUSU UWEKEZAJI KATIKA...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akiongoza Kikao cha Mazungumzo ya Awali na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio(hayupo pichani) kuhusu...
View ArticleKAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI...
Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa...
View ArticleWAREMBO REDD'S MISS TEMEKE WAJIFUA VILIVYO RIO GYM & SPA EXTRA
Rebecca na Neema Mollel wakiendelea na mazoezi hayo Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI...
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...
View ArticleWAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA,...
Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja...
View ArticleWabunge wa Chadema, Said Arfi na John Shibuda wamesema hawana hofu yoyote juu...
Mbunge wa Mpanda Mjini -Chadema Arfi Mbunge wa Viti Maalum -Chadema Leticia NyerereMbunge Maswa Mashariki-Chadema John Shibuda---Wabunge wa Chadema, Said Arfi na John Shibuda wamesema hawana hofu...
View ArticleWaziri Mkuu Mstaafu na mbunge wa Monduli -CCM Edward Lowassa Amjulia Hali...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Kundi la 201, Thomas Mgoli akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Dodoma, jana. Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli...
View ArticleMtaalamu wa sheria na Mkuu wa Shule Kuu ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar...
Profesa Bonaventure Rutinwa(kulia) ambaye ni mtaalamu wa sheria na pia Mkuu wa Shule Kuu ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uraia katika Kamati namba...
View ArticleMWANALIBENEKE DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA WAMEREMETA
Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki...
View ArticleMEMBE NA NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume...
View Article