$ 0 0 Computer zikikabidhiwa kwa ajili ya Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma MjiniMbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Makoko mjini Musoma, Mara.