Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph...
Mkurugenzi Idara ya Habari Assah Mwambene akitoa ufafanuzi mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tuzo aliyopewa Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa Sherehe za Muungano, ufafanuzi huo...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI RUKWA KATIKA UWANJA WA...
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Rukwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka (katikati) akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya...
View ArticleRAIS KIKWETE ONGOZA MAADHIMISHO YA MEI MOSI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaamAkiwa mwingi wa...
View ArticleSHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIA
Sheikh Ilunga Hassan Kapungu enzi za uhai wake.SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu saa...
View ArticleVigogo wa CCM Waung'uruma Kwenye mkutano wa CCM kwenye viwanja vya Kibanda...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Zanzibar na kuwaambia CCM itasimamia haki za Wazanzibar na kuhakikisha Muungano unadumu na Mapinduzi ya Zanzibar yanaenziwa . Wananchi...
View ArticleMbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji Asherehekea Siku Yake Ya...
Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake. Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa...
View ArticleKILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'....Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu....Akipokea tuzo kutoka kwa George...
View ArticleZIARA YA KAMATI YA BUNGE YA MALIASILI NA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA SHIRIKA...
Eneo la Mwongozo ambako ujenzi wa nyumba za gharama nafuu 214 zimenza kujengwaNaibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika...
View ArticleMSIBA WA BABA YAKE FILIKUNJOMBE LUDEWA NI HUZUNI TUPU
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe katika maombolezoAskari polisi wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na wananchi...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA DUKA LA KISASA MLIMANI CITY
Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzinduaduka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia,wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko Airtel...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania Ndugu Febby Mwanga mara alipowasili kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja kulikofanyika kilele cha maadhimisho ya siku ya wakunga...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA
Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo Mei 6, 2014.Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh....
View ArticleJAJI BOMANI: ANDIKENI HABARI ZA KUMKOMBOA MWANANCHI
Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo...
View ArticleSerikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika...
Meneja Uhusiano Mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw. William Gatambi (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusu maendeleo...
View ArticleWaumini wa dini ya kiislamu wakibeba jeneza lenye mwili wa Sheikh Hassan...
Waumini wa dini ya kiislamu wakibeba jeneza lenye mwili wa Sheikh Hassan Ilunga kabla ya kumzika katika Makaburi ya Mwinyimkuu, Magomeni jijini Dar es Salaam. Picha na Joseph Zablon
View ArticleUTEUZI WA MTENDAJI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI NA UNUNUZI WA UMMA (PPRA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).Dkt. Shirima ni Mkurugenzi...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AUNDA TUME YA UCHUNGUZI MWENENDO WA OPERESHENI TOKOMEZA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi (Commission Inquiry) Kuhusu Vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.Kwa mujibu wa...
View ArticleMULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING’AMUZI KIPYA AINA YA EXPLORER
Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king’amuzi chao kipya aina ya explorerWageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo oembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014Rais Dkt....
View ArticleBABAKE MBUNGE WA LUDEWA-CCM DEO FILIKUNJOMBE AZIKWA LUDEWA
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwa na mbunge Zitto Kabwe kulia Timu ya wabunge waliofika kumfariji Filikunjombe jana Mbunge Zitto Kabwe kulia akimfariji mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe...
View Article