Tazama Picha Mbalimbali Kutoka Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika...
Ndege za kivita nazo zikipita angani . Mwanajeshi akitua na mwanvuli kutoka angani mita 4000 kutoka usawa wa bahari Baadhi ya zana za kivita za kisasa zikipitishwa mbele ya Mhe. Rais Kikwete na...
View ArticleJUKWAA LA KATIBA WATANGAZA KUSULUHISHA MGOGORO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi za Jukwaa la Katiba jijini Dar es Salaam katika kutoa tamko rasmi za tathimini ya Jukwaa...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Amtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano...
Rais Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Aongoza Sherehe Za Miaka 50 ya Muungano
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..Pembeni ni Mkuu wa...
View ArticleNAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA UTUMISHI
COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATIONS DEVELOPMENT/PROGRAMMER)POSITION DESCRIPTION:COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATIONSDEVELOPMENT/PROGRAMMER) - 1 POST1.4.1 DUTIES AND...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA MAGONJWA YA MOYO KATIKA HOSPITALI...
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) baada ya uzinduzi rasmi wa kituo kipya na cha...
View ArticleHEBU JIONEE MWENYEWE TU JINSI ZIARA YA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA WA CCM...
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM (Bara) Mfaume Ali Kizigo akiwa na viongozi wa Chipukizi, Nimka Lameck (Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa) na Maleo Motelo (Mwenyekiti wa UVCCM Kinondoni) baada ya uzinduzi wa...
View ArticleSikiliza na Pakua Wimbo Maalumu wa Miaka 50 ya Muungano wa Hellow Hellow...
Tanzania @ 50 Wimbo Maalumu wa Muungano Utanzania Wetu ni Muungano Wetu, Tuulinde, Tuudumishe na Tuuimarishe Wimbo: TUULINDE Watunzi: LAMECK DITTO, AMINI MWINYIMKUU Watayarishaji: EMA THE BOY, TUDDY...
View ArticleVETA YAENDESHA SEMINA KWA WABUNGE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA...
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mh Mhandisi Zebadiah Moshi akiongea wakati wa semina iliyoandaliwa na VETA kwaajili ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Mh Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK GAHRIB BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA...
Watumishi wa taasisi mbalimbali wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa jana April 28-2014 kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam....
View ArticleWastaafu Watakiwa Kuhakiki Taarifa Zao Za Fao ya Uzeeni
Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari ( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo,...
View ArticleRais Jakaya Kikwete katika Ikulu ya Dar es Salaam amekabidhi vitabu 2,181 kwa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Ikulu ya Dar es Salaam amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya Jeshi ili kuongeza taaluma.Rais amekabidhi vitabu hivyo...
View ArticleSerikali imetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 111 kununua mazao kwa wakulima...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Bw. Charles akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio yaliyopatikana na wakala hao ikiwamo kutumia Zaidi ya Bilioni...
View ArticleMAMA KIKWETE AZINDUA CHANJO YA KUZUIA MAAMBUKIZO YA SARATANI YA SHINGO YA...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Leonidas Gama akimpokea Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 28.4.2014. Mama Salma alikwenda Moshi kuzindua rasmi...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA YATOSHA
Meneja Masoko wa Airtel akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa huduma mpya itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata whatsapp, Facebook na Twitter bure kupitia Vifurushi vya...
View ArticleASASI YA IRaWS - TANZANIA YAWASILISHA STADI JUU YA JINSI YA KUDHIBITI IDADI...
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Magereza, Deonice Chamulesile akisoma risala ya ufunguzi katika Kikao cha uwasilishaji wa Stadi juu ya jinsi ya kudhibiti idadi ya Wafungwa Magerezani...
View ArticleMabadiliko ya Anuani ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMAOfisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia...
View ArticleSerikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza...
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akiwaonyesha Waandishi wa Habari Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya...
View ArticleWaziri wa nishati na madini Mheshimiwa Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINIWaziri wa nishati na madini Mheshimiwa Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Mb) ameteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati...
View ArticleSoma Taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ya...
BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imefuta leseni za kufanya biashara ya mafuta kwa jumla (Whole Sale Licenses) kwa Kampuni tisa (9) zinazojihusisha na...
View Article