Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA NATAARIFA KUTOKA OFISI YA RAIS,TUME YA MIPANGO:UWANJA WA NDEGE MTWARA...

 Mmoja wa viongozi wa Timu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa fulana nyeusi) akihoji uimara wa sehemu ya kutulia ndege wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na na Binti wa Mfalme wa Sweden...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana Mach 19, 2014 Princess Victoria, ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jionee Mwenyewe Jinsi CCM Walivyozindua Kampeni Kwa Kishindo Jimbo la Chalinze

   Mmoja wa kina mama walioonyesha kuhamasika kwenda kwenye mkutano huo, akiwa na bango la Ridhiwani  huku amebeba mtoto wake wakato akienda kwen ye mkutano huo Mjumbe wa NEC na Mke wa Rais,Mama Salma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale- Mwiru (kulia) na Augustine  Lyatonga Mrema wakiteta, bungeni jini Dodoma Machi 19, 2014.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msimamo wa CCM Juu ya Baadhi ya Mambo Hasa Muundo wa Muungano Bado ni Uleule...

Juzi tarehe 18/03/2014 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Jaji Joseph Sinde Warioba aliwasilisha kwenye Bunge maalum la Katiba rasimu ya pili ya katiba.Toka awasilishe rasimu ile bungeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani...

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mzee Ally Mohamed Meta mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kampeni kwenye Kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Akiwa Ametulia ndani ya Ndege Akisafiri Kutoka Dar es...

Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA SEKONDARI MABIBO NA UBALOZI WA JAPAN WASAINI MKATABA WA WENYE...

Mstahiki Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan Mstahiki meya akiendelea kuzungumza wakati wa usainishwaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WANACHUO WA CBE

 Mkurugenzi wa Wanafunzi wanaochukua Mafunzo ya Shahada ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Dk. Esther Mbise akimkaribisha mgeni rasmi, Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO...

 Pichani ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Deos Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete.Rais Kikwete ameanza kulihutubia Bunge Maalum la Katiba kutokana na mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mheshimiwa Samuel…

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ona Jinsi Mwenyekiti wa Chadema na Mjumbe wa Bunge Maalum Mhe Freeman Mbowe...

    Mjumbe wa Bunge Maalum Mhe Freeman Mbowe akishangilia hotuba ya Rais KikweteMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Tundu Lissu akigonga meza kuashiria kukunwa na hotuba ya Rais Kikwete.Picha na IKULU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE KUPITIA CCM RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE...

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiteta jambo  na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha  Mkenge, kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)Umetangaza...

Mjumbe wa Umoja wa Wanaotetea Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi mjini Dodoma jana, mara baada ya kujadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa katika Bunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa  ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa  Jumanne Maghembe...

View Article

Ona jinsi Rais Jakaya Kikwete alivyofunguka mjini Dodoma, akiwahimiza wajumbe...

VIDEO:Mwananchi Communications Limited

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI

Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI JANETH MBENE AFUNGUA MAFUNZO YA WADADISI WA ZOEZI LA SENSA YA...

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Eliya Ntandu akizungumza kwa niaba ya Makatibu Tawala wa mikoa yote nchini wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Wadadisi na Wasimamizi wa Zoezi la Sensa ya Viwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA UHAKIKA KUTOKA KAMPENI ZA CCM CHALINZE AMBAPO MGOMBEA WA...

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini,Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live