Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya ikulu ndogo mjini Dodoma leo. Waliokula kiapo mbele ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAONGOZA KATA 11 KATIKA JUMLA YA KATA 13, UCHAGUZI MDOGO KALENGA

Mashabiki wa CCM wakimbeba aliyekuwa mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali ya CCM kuongoza kata 11 kati ya 13 katika matokeo ya uchaguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWSSS!!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE...

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM – TAMISEMI)AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALENGA WAPIGA KURA ULIVYOKUWA

 Wakazi wa Kalenga A wakiwa kwenye wamejipanga mstari wakati wa kupiga kura ambapo vyama vitatu vimesimamisha waogombea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga vyama hivyo ni CCM,CHAUSTA na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Rose Kamili Akamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani...

  Pichani shoto ni Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Rose Kamili akielekezwa sehemu ya kupita wakati wakiondoka ofisi za makao makuu ya CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI KWENYE KURIPOTI BUNGE LA KATIBA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Sululu Hassan akifungua warsha ya siku moja kwa wahariri na waandishi wa habari juu ya nafasi ya watetezi wa Haki za Binadamu katika Katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FURAHA YA AWALI YA USHINDI WA CCM KALENGA

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakisherehekea ushindi jioni hii katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Iringa ambapo inaonyesha CCM wanaongoza kwa mbali katika matokeo ya awali kwenye uchaguzi wa mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Grace Tendega Mvandana Kampeni Meneja Wake ambaye ni Mbunge wa Arusha...

 Mbunge wa Viti Maalum-Chadema, Rose Kamili akiwa Hospitali ya Mkoa wa Iringa, ambapo mbunge huyo alimwelezea  Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe(hayupo Pichani)namna alivyotekwa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIKUU JIMBO LA KALENGA

MATOKEO:Matokeo Rasmi ya Kalenga:Mgimwa Godfrey (CCM): 22,962 - 79.32%Tendega Grace (CHADEMA): 5,853 - 20.22%Minja Richard (CHAUSTA): 150 - 0.52%Mbunge mteule wa  jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA BAADA YA HALI YA HEWA KUCHAFUKA SIKU YA JANA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana jioni alisimama kwa dakika tatu mbele ya kipaza sauti lakini akashindwa kuwasilisha Rasimu ya Katiba kutokana na vurugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIKILIZE JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI...

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AKIWAKILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA HIVI SASA  LIVE! BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLE SENDEKA, LEKULE LAIZA WAMFAGILIA RIDHIWANI KIKWETE CHALINZE,WAWATAKA...

 Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka akiwaomba Wananchi wa Lugoba,Jimbo la Chalinze kutofanya makosa kwenye Uchaguzi Mdogo ndani ya Jimbo lao na Wampigie Kura Mgombea Ubunge kwa...

View Article

SOMA KWA MAKINI HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, MHE....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE MCHAKAMCHAKA JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akiambatana na Mwenyekiti wa Kampeni wa Chalinze (CCM),Saleh Mpwimbwi (kushoto) pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YASOGEZA HUDUMA ZAKE KWA WAKAZI WA TEGETA

Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba...

  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya Katiba  mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014.Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZAZIDI KUSHIKA KASI

 Msafara wa Mgombea Ubunge katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete ukielekea kwenye Mkutano wa Kampeni katika Kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe  Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili  kwenye ufunguzi wa Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Siku ya...

Rais Jakaya Kikwete Katibu wa Bunge Maalum la Katiba-Yahya Khamis Hamad--Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Machi 21, mwaka huu mjini Dodoma.Kauli hiyo imetolewa leo na...

View Article

MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014

KAMATI YA MAANDALIZI YAMKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014Kufuatia hatua ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuunda kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force) itakayosimamia maandalizi...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live