Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA ZAIDI 1000 NA MALORI 28 YAKWAMA KIJIJI CHA SINZA BARABARA YA SOMANGA...

Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari baada ya uharibifu mkubwa uliofanyika baada ya kunyesha kwa mvua kubwa  za masika ambazo bado zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL WATEMBELEA MIRADI YA TAASISI YA ACE AFRICA WALIYOIFADHILI ARUMERU

Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akizungumza na mmoja wa wanakikundi  cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KWA AJILI YA MAFUNZO...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO MJINI DODOMA

Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Bw.  Augustino Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Bw. Islaim Aden Rage leo Mjini Dodoma.Wajumbe wa Bunge Maalumla Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa...

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati Kuu Chadema, yampitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge...

Mgombea Ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chadema, Mathayo Torongey akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kutambulishwa. Picha na Michael Jamson  ----Kamati Kuu ya Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BADO KUNA UPUNGUFU WA MAJAJI NCHINI – JAJI RUTAKANGWA

Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU CCM YARIDHIA RIDHIWANI KIKWETE KUGOMBEA CHALINZE

DODOMA,TanzaniaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA  Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta Achukua Fomu Rasmi...

 Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangala....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha Za Matukio Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Samuel Sitta Ashinda Rasmi Nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Kwa...

  Wajumbe wakipiga kura    Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akishukuru kwa furaha muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi  wa nafasi hiyo kwa kura 469...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI NA...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje  na Muungano waJjamhuri  ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye  makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAENDESHA BODABODA, BAJAJI NA WAFANYABIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA...

 Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna (CP) Suleiman Kova akitoa ufafanuzi ameeleza kwa waandishi wa habari kuhusu wakazi wa jiji la Dar es salaam hususan madereva wa bodaboda na Bajaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMIA SULUHU ARUDISHA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BUNGE...

Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan (Aliyenyanyua fomu) kurudisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YATEKETEZA VIPODOZI VISIVYOFAA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 188

Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza akizungumza na wanahaabari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo.Kulia ni Afisa Habari wa Idara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSI LEO IKULU,...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YAMWAGA AJIRA KWA WATUMISHI 27,795 KWA MWAKA 2005/2013

Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamwaja akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi(MMAM).Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU VITAMBULISHO KWA WAANDISHI BUNGE MAALUM LA...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na wabahabari (hawapo pichani) kuhusu utoaji wa Vitambulisho vya Waandishi wa Habari kwenye shughuli za Bunge Maalum la...

View Article

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF  DHIDI YA MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live