Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu afanya mabadiliko ya baadhi ya...

 Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu---Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Afungua Rasmi Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa Jijini Dar es...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi  wa vyama mbalimbali vya siasa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga...

Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!.Picha na Maktaba--VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiaano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipokutana...

   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiaano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Christian Paradis walipokutana kwa mazungumzo rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja Akiwa akunjwa na...

Mchumi wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Shadrack Mwanjuguja akidhibitiwa na vijana baada ya kutokea vurugu jana asubuhi katika Kijiji cha Ruanda2 wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Santilya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Boniface...

Frank Mbapila, Msanifu wa Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na akina Haikamen Mlekio, Mratibu wa Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (wa kwanza kushoto) na wenzao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA...

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita. Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafuriko yatibua safari kijiji cha Mgagao Kilimanjaro

 Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya milima ya Pare Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro zimeporomosja maj na kusabisha mafuriko katika eneo la Kijiji cha Mgagao na kuwa kero kubwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Habari afungua Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji...

 Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa ashiriki msiba wa Patrick Qorro leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati Kuu ya CCM Yamteua Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi...

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), katika Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA KUUZA NYUMBA ZA MFUKO WA PSPF

Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuutaarifu Umma kuwa umezindua Mpango Mpya wa uuzaji nyumba zake zilizojengwa kwa ajili ya makazi katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM yawahoji Lowasa, Sumaye na Ngeleja

 Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAENDELEA KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA...

  Mkuu wa Huduma za Utangazaji na Mawasiliano ya redio kutoka Shirika la Utangazaji la Kimataifa (ITU), Pham Nhu Hai akiwasilisha mada katika kongamano hilo.  Mjadala ulifautiliwa kwa umakini na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Soma Kwa Makini Maoni ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuhusu...

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini-Chadema Zitto Kabwe---EFD zilianza kutumiwa mwaka 2010 kwa jumla ya wafanyabiashara 16,000 waliosajiliwa kwenye Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).Mwaka wa fedha 2009/2010,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YASIKITISHWA NA MGOMO WA WAFANYABIASHARA KWA KUFUNGA MADUKA MAENEO...

Mamlaka ya Mapato Tanzania inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wafanyabiashara kwa ujumla Kuwa inasikitishwa  na mgomo wa wafanyabishara kwa kufunga maduka maeneo mbali mbali nchini.Ifahamike...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI NA UWEKEZAJI...

 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akisaliamiana na warembo hao baada ya kuwasili kwenye banda lao.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ALIPOHOJIWA NA AMANPOUR WA CNN JIJINI LONDON

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  with CCN's Reporter Christiane Amanpour during an exclusive interview at CNN's London Studios. During then interview on Illegal Wildlife Trade, President Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dkt. Gharib Bilal, Akisalimiana na Waziri Mkuu wa...

Written by haki | // 0 comments  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar...

View Article
Browsing all 6856 articles
Browse latest View live