Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tumekubaliana Kuacha Unyonge! Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete Awaambia...

  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma jana, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati Kuu ya Chadema imemteua Grace Tendega Mvanda Kuwa Mgombea katika...

  Grace TendegaMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimtambulisha mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho  Grace Tendega kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, wakati wa mkutano na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Chini ya Mwenyekiti Wake Rais...

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM...

  Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi Wilaya ya Nanyumbu Wamekamata Watuhumiwa wa Usafirishaji wa...

Mkuu wa Kituo cha Polisi Mangaka Makao makuu ya Wilaya ya Nanyumbu Alfred Mbena akiwa na askari wengine wakiangalia meno ya  tembo 58 yenye uzito wa Kg 130.6 Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa,Godfrey...

Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa  Godfrey Mgimwa (wa pili kushoto) akisindikizwa na wana CCM wenzake kwenda kuchukua fomu za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO ZA KILI 2014 ZIMEZINDULIWA LEO

George Kavishe.Ni time ya kufahamu kuhusu tuzo ambazo hutolewa kwa Wanamuziki/Wasanii mbalimbali wa Tanzania zikiwa zimeanzishwa mwaka 1999 ambapo za mwaka huu 2014 zimezinduliwa leo February 17.George...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa...

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma kuhusiana na msimamo wa chama hicho kubakia katika mfumo wa serikali mbili. Katibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Frank Sanga ameteuliwa kuwa Mhariri Mtendaji Mpya wa Gazeti la Mwananchi

 Frank Sanga -- Idara ya Habari ya Mwananchi Communications Ltd, imetangaza mabadiliko ya Uongozi kutokana na kuondoka kwa baadhi ya waliokuwa wahariri wa gazeti hilo. Katika mabadiliko hayo Frank...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Felix Ngamlagosi ateuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za...

Felix Ngamlagosi Aliyekua  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)Bw. Haruna Masebu,ambaye amemaliza  muda wake tarehe 31 Desemba 2013, baada ya kuitumikia Mamlaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Kashillilah azungumzia posho ya shilingi laki tatu kwa kila mjumbe wa...

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah--- Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, amewaambia waandishi wa habari hayo Bunge Maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA JUBILEE YA MIAKA 25 YA KKKT - DMZV ZILIVYOFANA JANA JIJINI MWANZA

Askofu mkuu wa Dayosisi ya Mwanza Ziwa Victoria (DMZV) Andrew Gulle kabla ya kufunua jiwe maalum la Jubilee alikata utepe kuashiria safari ya maadhimisho hayo kuanza rasmi, ambapo kilele chake kitakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAWAPA ADHABU YA ONYO KALI LOWASSA, MEMBE, WASSIRA, MAKAMBA, SUMAYE,...

Kati ya tarehe 13/02/2014  na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw Sunil Colaso akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel money ijulikanayo kama Hatoki Mtu Hapa  ambapo wateja watapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA MSASANI

Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka jipya la Vodacom maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia kutoka kulia kwake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MLIMA SEKENKE LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE

Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuunguaLori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya Sekenke mkoani Singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA...

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA...

  Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum La Katiba Mjini Dodoma

Waziri wa Sheria na Katiba ambaye pia ni mjumbe wa Bunge  maalum la Katiba Dkt Asharose Migiro (kushoto) na Mjumbe wa Bunge  maalum la Katiba Hamad Rashid wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI KATIKA UKUMBI WA CENTRUY CINEMAX -...

Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John Riber akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu tatu chini ya mradi wa Swahiliwood. MFDI...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live