JIJI LA MWANZA LAFIKIWA NA HUDUMA ZA INTANETI YA KASI YA TIGO 4G LTE
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jjijini Mwanza jana,kuhusu upatikanaji wa huduma ya Tigo 4G LTE,kushoto ni Meneja wa Tigo 4G LTE Benedict...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO AKUTANA NA MKURUGENZI WA...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akimkaribisha Mkurugenzi wa Radio France Internationale(RFI) Bi.Cecile Megie ofisini kwake alipomtembelea kwa ajili ya...
View ArticleWAZIRI MKUU AWAHAKIKISHIA FURSA ZA UWEKEZAJI WA VIETNAM
Na Anitha Jonas – MAELEZODar es Salaam.Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewahakikishia wawekezaji kutoka Vietnam kuwepo kwa fursa za uwekezaji...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA KISOSHALISTI YA VIETNAM TRUONG TAN SANG ATEMBELEA MAKAO...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais wa Vietnam Truong Tan Sang, kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam,...
View ArticleSERIKALI KUUNDA MAMLAKA KUU YA MAPATO YA TAIFA
Kaimu Kamishna wa TRA Alphayo Kidata akifafanua jambo waandishi wa habari(Hawapo pichani) kuhusu mpango wa Serikali kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini ili waweze kumudu kulipa kodi ,kulia ni...
View ArticleRAIS WA VIETNAM ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA HALOTEL JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Truong Tang San akizindua Sanamu ya kiongozi wa zamani wa Vietnam iliyopo kwenye Kampuni ya Simu ya Halotel. Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tang San akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Simu za...
View ArticleZIARA YA KUSHITUKIZA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI BENKI KUU YA TANZANIA...
Rais Dkt Magufuli akizungumza na Uongozi wa juuu wa Benki Kuu
View ArticleWAZIRI WA MAJI AIAGIZA BODI YA DAWASCO KUWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WAKE KWA...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge (katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) , Meja General (mstaafu), Samuel Kitundu...
View ArticleSPIKA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA UJERUMANI
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Anayeshuhudia kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.Wabunge hao...
View ArticleSEMINA YA KUWANOA WADAU WA SEKTA YA SANAA, YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Kwa mara ya kwanza, wadau wa Sanaa nchini wamepata fursa ya kukutanana Makampuni, Mashirika na Vyombo mbalimbali katika mafunzoyaliyofanyika hotel ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam. Semina...
View ArticleMWANAMAPINDUZI YA ZANZIBAR, MZEE IBRAHIM AMAN AZIKWA LEO KATIKA KIJIJI CHA KWALE
Viongozi wa Kitaifa waliohudhuria mazishi ya Marehemu Mzee Ibrahim Amaan wakikamilisha hitma ya kumuombea kiongozi huyo Mwanamapinduzi ya Zanzibar huko Kijijini kwake Nymanzi Wilaya ya Magharibi “B”....
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA MIKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5...
View ArticleRais Magufuli awathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili za Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili za serikali.Waliothibitishwa ni Bw. Alphayo Kidata, aliyekuwa Kaimu Kamishna Mkuu wa...
View ArticleSERIKALI KUNUNUA MELI MPYA - WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanza kukusanya fedha kwa ajili ya kununua meli mpya kwa ajili ya usafirishaji wa abiria na mizigo kwenye Ziwa Victoria.“Rais John Pombe Magufuli kasema...
View ArticleWARSHA YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI NA UDHIBITI WA NDANI KWA AJILI YA...
Makatibu Wakuu kutoka Wizara tofauti wakihudhuria mafunzo ya ‘Warsha ya Usimamizi wa Vihatarishi na Udhibiti wa Ndani’ (Risk Management and Internal Control Systems Workshop) yaliyoandaliwa kwa ajili...
View ArticleMH. PAUL MAKONDA AMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA KAZINI
Mhe.Paul Makonda siku ya leo (jana) alikuwa anatimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa mkuu wa Walaya Kinondoni,asubuhi ya leo katika Ibada Kanisani Living Water Center Ministry Kawe alipolelewa kiroho...
View ArticleAIRTEL FURSA YAINGIA DODOMA YATOA MSAADA WA SHS MILIONI 9
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati), akijaribisha moja ya mashine mashine walizomkabidhi kijana Fikiri Chinji (kushoto), anayejishughulisha na ufundi seremala, kupitia mpango...
View ArticleGSM FOUNDATION YAIPIGA JEKI TIMU YA TAIFA YA RIADHA ILIYOKO KAMBINI WEST...
Kocha wa timu ya taifa ya riadha Fracis John (kulia) akiwa na wanariadha wanaounda timu ya taifa ya riadha wakitizama msaada wa Track Suit ulitolewa na GSM Foundation kwa ajili ya wanariadha hao....
View ArticleRAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki, Javier Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya...
View Article