SHULE YA MSINGI MBAGALA MAJIMATITU YACHIMBIWA VISIMA VYA MAJI
Msimamizi wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji katika Shule ya Msingi Mbagala majimatitu kutoka DAWASA Muhandisi Abel Chibelela akiangalia maendeleo ya kisima kimoja kati ya viwili vinavyochimbwa...
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI MBALI MBALI ZA AFRIKA...
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini, walipofika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo kumpa mkono wa pole...
View ArticleKAMPUNI YA TOTAL YAMHAKIKISHIA RAIS MAGUFULI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA HARAKA...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javier Rielo amemuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKABIDHIWA TUNZO YA MSANII BORA AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumzana Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili EastAfrika...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA LEO IKULU JIJINI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa...
View ArticleKAMISHNA WA JESHI LA POLISI ZANZIBAR AZUNGUMZIA JUU YA MIRIPUKO INAYOTOKEA...
Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu matokeo ya uripuaji wa mabomu na kuchoma moto nyumba na maskani za CCM Unguja na Pemba. Picha na Makame...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA TAKUKURU...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yaliyoulizwa wakati wa kikao.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KINYEREZI II
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida , Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco...
View ArticleJWTZ LAKANUSHA KUPELEKWA WANAJESHI VISIWANI ZANZIBAR
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOTaarifa kwa Vyombo vya HabariJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA MGENI RASMIN SIKU YA TEPE MEUPE LEO
Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe nauzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika leoMarch 16,2016...
View ArticleRAIS MHE. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UJENZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mwenyekiti wa Chama...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA CHATO MKOA WA GEITA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Jafari baada ya kuwahutubia wananchiwa kata ya Kasulo wilayani Ngara Machi 16, 2016. Alikuwa katika siku ya mwisho ya zira ya mkoa wa Kagera. Wananchi...
View ArticleWAZIRI KITWANGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Brigedi Kamanda wa 101 KV Zanzibar, Brigadia Jenerali, Cylir Mhaiki, kabla ya kufanya mazungumzo na Wakuu wa Vyombo vya...
View ArticleRC MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA APOKELEWA OFISI KWAKE NA KUZUNGUMZA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishukua kutoka kwenye gari lake la Ukuu wa Mkoa wakati alipokuwa akifika kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam jana mchana. Katibu Tawala...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YAKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad Rajab akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,...
View ArticleSIKU YA UTEPE MWEUPE WA UZAZI SALAMA YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa siku ya Utepe Mweupe ambapo na uzinduzi wa kampeni ya kuzuia vifo vya mama na mtoto katika mkutano...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA ARDHI MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Sixtus Mapunda (kushoto kwake), wakati Kamati...
View ArticleNHC YATAMBULISHA BIDHAA YAKE YA NYUMBA KWA MABENKI
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Pius Tibazarwa akizungumza na maafisa mbalimbali wanaohusika na mikopo ya nyumba kutoka benki mbalimbali 16 nchini ambazo zimesaini mkataba...
View ArticleTIGO YAFUNGUA DUKA JIPYA MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(katikati) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana, Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na...
View ArticleWACHINA WA KAGASHEKI WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA
Raia wa Kichina kutoka kulia ni na Xu Fujie na Huang Jing ambao wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela au kulipa faini ya shilingi bilioni 54 jana katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...
View Article