WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA POLE RAIS MSTAAFU.
Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe Mary wakimpa pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Salma (kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwao jijini Dar es salaam kuhani msiba wa kaka yake Rais Mstaafu...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, WAKUU WA WILAYA YA ILALA NA TEMEKE WATEMBELEA...
Bodi ya Wakurugenzi wa Chama cha wamiliki wa Maroli Tanzania(TATOA) na Menejimenti leo iliungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wakuu wa Wilaya wa Ilala na Temeke kutembelea shule za Msingi za...
View ArticleUNDP WAFANYA KONGAMANO LA VIJANA, LENGO NI KUWASAIDIA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Awa Dabo akitoa neno la ufunguzi katika kongamano la vijana na maendeleo, kongamano lililofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es...
View ArticleWIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na mshauri wa maendeleo ya kimataifa wa kampuni ya Uk sport Bi.Clare Barell.Kampuni iyo ni mshirika...
View ArticleKIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM KUANZA KAZI HIVI KARIBUNI
Rais Dk. John Pombe Magufuli akikagua kivuko cha MV Dar es salaam. …………………………………………………………………………………………………………………………Na Raymond Mushumbusi MAELEZOKivuko cha Mv Dar es Salaam maarufu kama kivuko cha Rais...
View ArticleWAZIRI MKUU, MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA TANO WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashriki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustino Mahiga akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki katika Mkutano wa Tano wa Bunge hilo...
View ArticleWAZIRI UMMY MWALIMU AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI JIJINI DAR...
Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra jijini Dar...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MTWARA MH. HALIMA DENDEGU AZINDUA RASMI SHINDANO LA MAMA...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu akitoa Hotuba yake kwa wakazi wa Mtwara na Kuzindua Rasmi Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2016 linaloendeshwa na Shirika la Kimataifala OXFAM Tanzania...
View ArticleRAIS WA VIETNAM, MHE. TRUONG TAN SANG AWASILI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikianowa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga (kushoto)akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wakati wakumpokea Rais wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ASHIRIKI TUKIO LA KIHISTORIA LA MAADHIMISHO YA SIKU YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa risala yake ya ufunguzi kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni...
View ArticlePROF. MBARAWA; TUMIENI DATA CENTRE KUTUNZA TAARIFA ZENU
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akionesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mfumo wa ufatiliaji wa kielektroniki katika jengo la kituo cha kutunza taarifa mbalimbali...
View ArticleBAADHI YA WAFANYAKAZI WANAUME WA VODACOM TANZANIA WAELIMISHWA JINSI YA...
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Evans Lyimo(kushoto)akimuuliza swali mtaalamu wa masuala ya Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Chris Mauki(hayupo pichani)wakati alipokuwa...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI YA USHAURI CHA MKOA WA LINDI CHAFANYIKA
Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Jordan Rugimbana akisoma hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Kamati ya Ushauri mkoa. Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe....
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA VIETNUM, AKUTANA NA MAALIM SEIF
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang, jana Ikulu Jijini Dar es Salaam akipofika kwa mazungumzo na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na...
View ArticleDKT. POSSI AZINDUA KITABU CHA JINSI YA KUONDOKANA NA UMASIKINI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu,Bunge,Kazi,Ajira na Walemavu Mhe. Dkt Abdallah Possi (Katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoelezea namna ya Tanzania inavyoweza...
View ArticleWATANZANIA WAMEASWA KUWA NA TABIA KUWEKEA AKIBA BENKI.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO, DodomaWatanzania wameaswa kujenga tabia ya kujiwekea akiba kupitia mabenki kwa manufaa yao na taifa kwa kwa ujumla ikiwa ni mchango wao katika kutekeleza kaulimbiu ya Mhe....
View ArticleUZINDUZI WA MRADI WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA MKOA WA SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako kumefanyika uzinduzi wa mradi wa Uboreshaji Mifumo ya Sekta za Umma unaojulikana kwa jina la Public Sector Systems...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA BIHARAMULO PAMOJA NA ENEO...
Kamishna Jenerali wa Magereza – CGP John Casmir Minja akisalimiana na Mkuu wa Gereza Kuu Butimba, Mwanza Kamishna Msaidizi wa Magereza, Jaili Mwamugunda alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza...
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius...
View Article