Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6866 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA EAC ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza rasmi kwa Mkutano wa 17 wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YAKABIDHI TUZO NA VYETI KWA WANAFUNZI BORA WA CHUO KIKUU ARDHI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono wa Pongezi, France Bahangarwa baada ya kumkabidhi Fedha Taslimu na Cheti cha Mwanafunzi Bora Shahada ya kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI NA RAIS KENYATTA WAWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Tengeru nje kidogo ya Jiji la Arusha mara baada ya kuwasili  kwa ajili ya Uzinduzi rasmi wa Barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA SALA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA NA AUNGUA MKUTANO WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, akiwa na viongozi wa Mtandao wa Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi wa Dini wa Mataifa mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KUHABARISHA JAMII VYEMA.

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Anastazia Wambura akisalimiana na Mkurugenzi mkuu National Media Group  Bw.Joe Muganda wakati wa tafrija fupi iliyoandaliwa na kampuni ya Mwananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALA YA SERIKALI MTANDAO YAZISHAURI TAASISI ZA SERIKALI KUFUATA MIONGOZO NA...

 Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bi. Suzan Mshakangoto akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari kuhusu taratibu zinazotakiwa kuzingatiwa na taasisi za  Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA BARIADI NA KUZINDUA BWAWA NA OFISI YA CCM.

 Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana  na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Dutwa  akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi3, 2016.Kulia ni Mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI AMPONGEZA CHEKA, SERIKALI YAMPA CHETI CHA PONGEZI

Waziri Nape Nnauye akimkabidhi cheti bondia Francis Cheka baada ya kushinda ubingwa wa Mabara wa uzito wa Super middle wa WBF.Waziri Nape Nnauye akiuvaa mkanda wa ubingwa wa Mabara wa uzito wa Super...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) YAKABIDHIWA GARI MBILI ZENYE THAMANI YA SH...

 Mbunge wa viti maalum, Faharia Khamis Shomari  akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa WanawakeTanzania (UWT) katika ukumbi wa CCM Mkoa pichani hawapo kwenye sherehe ya makabiziano ya magari hayo yalio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU

Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI JOHN WILLIAM KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.Kabla ya Uteuzi huo, Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA WA UTALII ARUSHA ATOA MISAADA YA KIJAMII HOSPITALI MKOA WA...

Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet .c.Mfuko akizima mshumaa alipokuwa akiazimisha siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia katika hospitali ya Mt.Meru jijini Arusha  Mkurugenzi wa kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA JANETH MAGUFULI AWATAKA WADAU KUJITOKEZA KUSAIDIA WAZEE NA WATU...

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei mara baada ya kumaliza kuongea na wazeeMke wa Rais Mama Janeth Magufuli akishiriki katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Susan Omari ( wa Pili kushoto ) akiwa pamoja na Mwandaaji wa Siku hiyo hapa nchini Zuhura Sinaro Muro ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE LA EALA AZIASA NCHI WANACHAMA KUTUMIA KISWAHILI KATIKA KUFANYA...

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mhe. Daniel Kidega (kulia) akitoa taarifa ya Jumuiya hiyo mbele ya ya Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki leo Jijini Dar es Salaam kuhusu masuala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA KWA MILIONI 15 MANYARA.

Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo  kwa  Kijana Frank Rowland ( katikati)  kabla ya kumkabidhi banda la kuku la kisasa na kuku  100 wa kienyeji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDA YASITISHA MIKATABA YOTE YA WAFANYAKAZI WA MKATABA WALIOKO KATIKA OFISI...

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MHE. BALOZI ENG. JOHN WILLIAM KIJAZI KUWA KATIBU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Kijazi anachukua nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMPA ZAWADI YA LAPTOP MWANAFUNZI WA SHULE YA KATA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shule za sekondari za kata zina fursa ya kufanya vizuri kama zilivyo shule nyingine licha ya kuwa watu wengi wamekuwa wakizidharau.Ametoa kauli hiyo leo mchana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE:TUTATENGENEZA SERA MADHUBUTI ILI SEKTA YA FILAMU IWE RASMI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea  Tuzo ya Filamu Bora ya Kiswahili barani Afrika ambayo imetwaliwa na msanii Single Mtambalike a.k.a Richie (katikati,...

View Article
Browsing all 6866 articles
Browse latest View live