NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Polisi, wakati wa mkutano wa Kujitambulisha na kufahamiana na Watendaji wakuu na Maafisa wa Jeshi...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TIGO YAZINDUA CHAPA MPYA LIVE IT, LOVE IT KUELEKEA MSIMU...
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez...
View ArticleVIJANA NCHINI KUENDELEA KUNUFAIKA NA PROGRAMU YA KUKUZA AJIRA ZENYE STAHA DAR...
Afisa mwelekezi wa wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam,kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo hivi...
View ArticleMKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI ATANGAZA MAJINA NA MADIWANI WA VITI MAALUM
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Ramadhan Kailima akitangaza majina ya Madiwani wa Viti Maalum walioteuliwa na tume ya uchaguzi kutoka vyamba mbalimbali vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi...
View ArticleJOB NDUGAI NDIYE SPIKA MPYA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Hatimaye Job Yustino Ndugai CCM amechaguliwa kuwa Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 254 sawa na asilimia 70% ya kura zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa...
View ArticleKOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA...
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wa kuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na...
View ArticleNEC YATANGAZA VITI VYA MADIWANI WATEULE1393
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani akizugumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya viti maalumu vya Udiwani ambavyo Madiwani wake...
View ArticleNDUGAI ALIPOAUKWAA USPIKA WA BUNGE JANA
Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiongoza kikao cha kwanza cha Bunge hilo jana mara baada ya kuchaguliwa na wabunge.Mgombea wa Uspika wa Bunge la Jamhuri...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA TAASISI YA DORIS MOLLEL FOUNDATION...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo...
View ArticleWanafunzi wenye mahitaji maalum vyuo vikuu waaswa kutumia vyema utaalamu...
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Nicholas Kuhanga (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu Bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wakati wa...
View ArticleDC MAKONDA AZUNGUMZIA KIFO CHA KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam nje ya chumba cha kuhifadhia maiti...
View ArticleCCM YASHINDA UBUNGE MAJIMBO YA ULANGA NA LUSHOTO.
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo la Ulanga kupitia CCM, Mlingwa Goodluck ameshinda kiti hicho baada ya kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.7 ya kura halali zilizopigwa.Msimamizi wa...
View ArticleSPEA ZA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN ZIMEFIKA NA MATENGENEZO YAMESHAANZA KATIKA...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete baada ya kufuatilia agizo la Rais John Pombe Magufuli ambaye awali...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) , Jumanne Sajini baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya...
View ArticlePOP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM
Nuya Essence Founder of Branoz Collection Bahati Abraham withcustomers Secret Habits Seller servings customers Pediah John, Founder of PSJ Brand with...
View ArticleBENKI YA STANDARD CHARTERED YATEUA MKURUGENZI WA KWANZA MTANZANIA
Sanjay Rughani (pichani) anakuwa Mtanzania wa kwanza kuiongoza benki ya Standard Chartered Tanzania akipokea uongozi wa benki hiyo kutoka kwa aliyekuwa mkurugenzi wake, Liz Lloyd, ambaye amerudi katika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Tanzania (WFT) wakati viongozi hao walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleWAZIRI MKUU ATAKA KILA MKURUGENZI ASOME HOTUBA YA RAIS, AIFANYIE KAZI
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa vitengo na wakuu wa taasisi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) wapate nakala ya hansard ya hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya...
View ArticleTAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari...
View ArticleMAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.
MAFUNDI kutoka kampuni ya Philips wanaendelea na matengenezo ya mashine za MRI na CT-SCAN katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zilizopata hitilafu za kiufundi hivi karibuni.Akizungumza ofisini kwake...
View Article