Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA JUKWAA HURU LA WAZALENDO KUUNGA MKONO HOTUBA YA MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Jukwaa Huru la Wazalendo Ndugu Salum Ally Hapi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Travetine ,Magomeni jijini Dar es Salaam, kulia ni Katibu wa Jukwaa hilo Ndugu Mtela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA NA WADAU WA HABARI KUTOKOMEZA...

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMBILI YAPATIWA MSAADA WA VIFAA VYA KUOKOA MAISHA YA WATOTO

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Tanzania, Dk Juma Gulaid akisoma taarifa kabla ya kukabidhi vifaa vya kuhudumia watoto katika hafla fupi iliyofanyika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUMIZI YA TEHAMA YABORESHA UFANISI SERIKALINI.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Florence Temba akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa Serikali kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII

Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Kenyatta, Magret...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSD kuweka nembo ya serikali kwenye dawa zake

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAZINDUA RASMI MAUZO YA NYUMBA ZA KAWE SEVEN...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kuzindua rasmi mauzo ya nyumba katika mradi wake mpya wa Seven Eleven (711) Kawe. Ujenzi wa mradi huo ulianza rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LTD YAVIPIGA JEKI CHUKO KIKUU CHA USHIRIKA NA...

Meneja masoko wa Kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha,Edmund Rutaraka akimkabidhi hundi ya kiasi cha shilingi Milioni 1.5 ,katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro ,KRFA,Mohamed Musa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL TANZANIA YAPIGA ‘TAFU’ TASWA SC

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa timu ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) Majuto Omary kwa ajili ya kutumika katika mechi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto),  akipokelewa na Maofisa wa Jeshi la Polisi alipowasili Chuo cha Polisi Kilwa Road, kufungua Kikao cha Baraza la wafanyakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA UJENZI ENDELEVU NA MAZINGIRA TANZANIA LATANGAZA AZMA YAKE UJENZI...

Viongozi wa Baraza la Ujenzi Endelevu na Utunzaji wa Mazingira Tanzania, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Baraza hilo, Ipyana Moses na Makamu wa Rais wa Baraza hilo, Farizan d’Avezac de Moran...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA KUWA ENDELEVU JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Said Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) ofisini kwake  leo  alipokuwa akizungumzia zoezi la usafi na namna mkoa ulivyojipanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA MAJALIWA

Rais John Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015  na kuzungumza nao kwa takribani saa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA VIONGOZI WA MTANDAO WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Wanawake wanaounda Umoja wa Wanawake Wanasiasa kutoka Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania walio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA 'SAFARI SATELLITE CITY' WAPATA MAJI YA KUTOSHA KWA UJENZI WA NYUMBA...

Uongozi wa Shirika Mkoa wa Arusha umefanikisha uvutaji wa bombala maji safi kutoka umbali wa Kilomita1.5 kama sehemu ya kuwezesha mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika mji mdogo wa Safari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ATINGA OFISINI KWAKE LUMUMBA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YAZINDUA MTANDAO WENYE KASI ZAIDI WA 4G LTE JIJINI TANGA

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki, Goodluck Charles (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya simu, James Marwa ambaye aliibuka mshindi wa kwanza wa bahati nasibu iliyochezeshwa jana sambamba na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI‬ MKUU AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA WATANO TRA

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU WA TRA, RISHED BADE ASIMAMISHWA KAZI

Rais Dk Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA) Rished Bade na kumteua Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyoTaarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AZINDUA UNUNUZI WA HISA ZA BENKI YA WALIMU- MCB

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es salaam...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live