BODI YA WAKURUGENZI YAKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC DAR
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah akiwaeleza baadhi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa namna ambavyo jengo la kitega uchumi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU ASHIRIKI MSIBA WA MJUKUU WA RAIS MAGUFULI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki...
View ArticleUZINDUZI WA USHIRIKA WA MAMA NA BABA LISHE KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM...
Mratibu na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya Ya Mama na Baba Lishe Mkoa wa Dar es Salaam, Said Said (wa pili toka kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo kuelezea kuhusu...
View ArticleWATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA UCHUMI (ECONOMIC DIPLOMACY)
Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi...
View ArticleMAANDALIZI YA KIKAO CHA BUNGE YAENDELEA
Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na mfanyakazi wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge...
View ArticleTAIFA STARS YAING’ANG’ANIA VIBAYA ALGERIA YATOKA SARE YA 2-2 UWANJA WA TAIFA
Wachezaji wa timu ya Taifa Stars na Algeria wakichuana vikali kuwania mpira katikati yao wakati wa mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWAPA MOYO WACHEZAJI WA TAIFA STARS KUELEKEA MCHEZO WA MARUDIANO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Nahodha wa Timu ya Taifa Stars, Nadir Haroub 'Canavaro', baada ya mchezo wa kuwania kufuzu hatua...
View ArticleWAKATAA KUPANDISHWA KWA BEI ZA MAJI
Mkurugenzi wa AUWSA, Inj. Ruth Koya akiwa anasoma garama mpya ambapo zilipendekezwa kuongezwa na changamoto walizonazo Mgeni rasmi wa mkutano huo ambaye ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Kuu yaHalmashauri Kuu ya CCM ambapo ajenda kuu ilikuwa kujadilimajinaya wana-CCM...
View ArticleKAMATI KUU YATEUA WATATU USPIKA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC ,CCM Makao Makuu Dodoma akiwa ameshikilia kitabu cha Kanuni za Kamati ya Wabunge Wote wa Chama Cha...
View ArticleDKT REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo mwishoni...
View ArticleMAHAFARI YA NANE YA CHUO KIKUU CHA KIISLAMU CHA MOROGORO(MUM) YAFANA.
CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimesherehekea miaka kumi (10) tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005, (2005 - 2015). Maadhimisho hayo yameenda sambamba na mahafari ya Nane katika chuo hicho(2008...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. TULIA ACKSON MWANSASU KUWA MBUNGE
Dkt. Tulia Ackson Mwansasu.
View ArticleBWANAUSI WA CCM ASHINDA UBUNGE JIMBO LA LULINDI
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo la Lulindi kupitia CCM, Jerome Bwanausi ametangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho baada ya kuwabwaga wenza watatu kutoka vyama vya NLD, CUF na ACT...
View ArticleROCK CITY MARATHON 2015 YATIKISA JIJI LA MWANZA
Afisa michezo mkoa wa Mwanza, James William, akimkabidhi zawadi ya kitita cha shilingi milioni moja na nusu mshindi wa kwanza wa mbio za km 21 upande wa wanawake Alice Mogire kutoka Kenya baada ya...
View ArticleMKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI...
Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe,...
View ArticleHUDUMA ZA MRI NA CT-SCAN ZASITISHWA KWA MUDA MUHIMBILI
Huduma za uchunguzi kupitia mashine ya MRI (Magnetic Resonance Imaging) katikaHospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimesimamishwa kwa muda kuanzia leo Novemba 16 kwaajili ya matengenezo zaidi.Taarifa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo...
View ArticleDC PAUL MAKONDA AZINDUA UMOJA WA WATENGENEZAJI KEKI TANZANIA (TCBA)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa pili kulia) na Mdau wa Keki, Mama Cythia Henjewele (wa pili kushoto), wakikata keki maalumu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Watengeneza keki...
View ArticleDK. THOMAS KASHILILA- ATANGAZA WAGOMBEA WA NAFASI YA SPIKA WA BUNGE LA...
Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila (katikati) akitangaza wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 ambapo kwa mujibu wa Dr. Kashilila wagombea hao ni kutoka vyama...
View Article