FRAMES ZA MADUKA ZILIZOPO MIKOCHENI ZINAPANGISHWA
Mahali zilipo: Kinondoni Mikocheni A, Zinko karibu na nyumba za makazi za TPDC , Zinapakana barabara ya kuelekea Kwa Mwalimu Nyerere Maelezo: Ukubwa Upana mita 12 Urefu mita 15 zinaanza...
View ArticleHIVI NDIVYO MAMILIONI YA WATU WALIVYOMZIKA NELSON MANDELA, HATUTAONANA TENA...
Jeneza lenye mwili wa Mandela likielekea kwenye eno la mazishi katika kijiji cha Qunu mapema leoFamilia ya Mandela ikiwa mstari wa mbele akiwemo Winnie, Rasi Zuma na Graca Machele wakifuatilia mazishi...
View ArticleKWELI MANDELA HAKUWA MTU KAWAIDA, MAAJABU YATAWALA KWENYE MAZISHI YAKE,...
Hapa Mwili wa Mandela baada ya kufariki. Na Mwandishi wa Xdeejayz-Afrika KusiniHatimae Nelson Mandela amepumnzishwa kwenye makao yake ya milele na kimsingi hatutomuona tena hadi siku ya mwisho kwenye...
View ArticleKIWANJA KIPYA CHA MARAHA AIRPORT JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZOTE ZA http://www.fullshangweblog.com/
View ArticleSUMATRA WATOA MAKUCHA YAO, YASITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI WA MABASI
Ajali ni moja ya matukio yanasababisha taifa kupoteza nguvu kazi kubwa kutokana na vifo vinavyotokea. Sababu za kutokea ajili zipo nyingi sana , lakini kubwa zaidi ni kukosa umakini kwa maderva na...
View ArticleKIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSON MANDELA JUMAPILI DESEMBA 15, 2013
Daraja la waendao kwa miguu likipita juu ya barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea kijijini Qunu.Siku ya mazishi barabara ya kuelekea Qunu ilifungwa na ni magari yaliyokuwa na kibali tu ndiyo...
View ArticleSemina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni...
Katibu wa Itikadi na Uenezi mkoa wa Morogoro, Dorothy Mwamsiku, akifungua semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya ya Kinondoni, leo Des 17, 2013, katika hoteli ya Road View, nje kidogo ya...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA WANAWAKE AFRIKA MASHAIRIKI NA KATI NA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa CEO Clubs Network, Bwana Tareq Ahmed Nizami, mwandaaji mwenza wa Mkutano wa Wanawake kutoka Afrika, Mashariki ya Kati...
View ArticleTanzania-Qatar for stronger economic ties
On the 18th of December 2013, the State of Qatar celebrated its National Day, an historical event which was commemorated in Dar es Salaam in cooperation with the Qatar Embassy, the Ministry of Foreign...
View ArticleTAZAMA PICHA ZAIDI JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA...
Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura. Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa...
View ArticleHIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CCM JIJINI MWANZA ALIVYOZIKWA NA UMATI MKUBWA WA...
Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji.Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.Padre akiongoza ibada ya...
View ArticleEMMANUEL OKWI ALIVYOTUA DAR KUJIUNGA NA YANGA LEO
Emmanuel Okwi akilakiwa na shabiki maarufu wa Yanga, Steven (kulia) katika uwanja wa ndege alipowasili.Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Okwi akiwasili jijini Dar akitokea Uganda kuungana na...
View ArticleRAIS DKT. KIKWETE AENDA MAREKANI KUFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA
Rais Jakaya Kikwete---- THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya...
View ArticleMAMA SALMA APOKEWA KWA SHANGWE BAADA YA KURUDI NA TUZO YA UONGOZI KUTOKA DUBAI
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye ofisi yake iliyoko karibu na Ikulu mara baada ya kuwasili nchini akitokea Dubai, Umoja wa Falme...
View ArticleFRAMES ZA MADUKA ZILIZOPO MIKOCHENI ZINAPANGISHWA
Mahali zilipo: Kinondoni Mikocheni A, Ziko karibu na nyumba za makazi za TPDC , Zinapakana barabara ya kuelekea Kwa Mwalimu Nyerere Maelezo: Ukubwa Upana mita 12 Urefu mita 15 zinaanza kupangishwa...
View ArticleMCHEZAJI WA YANGA EMMANUEL OKWI ATUA JANGWANI RASMI KWA KIBARUA CHA NANI...
Emmanuel Okwi akilakiwa na shabiki maarufu wa Yanga, Steven (kulia) katika uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere muda mfupi baada ya kufika.Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya...
View ArticleMbunge wa Kigoma Kaskazini -Chadema Zitto Kabwe Atua Mkoani Kigoma Kwa...
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma Baaadhi ya Madreva bodaboda mkoani kigoma...
View ArticleWaziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Edward Lowassa Ashiriki...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleYANGA YAMTEMA RASMI BRANDTS, BIN KLEB AWEKA MAMBO HADHARANI LEO JANGWANI!!
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Abdallah Bin Kleb (katikati) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga, kushoto ni Musa Katabaro na kulia Afisa Habari Baraka Kiziuguto. Picha kwa...
View ArticleMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI...
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New...
View Article