Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT.KIKWETE ATOA ZAWADI YA KRISMASI

Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Beatrice Fungamo (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Makao ya Watoto Kurasini wilayani Temeke Bibi  Beatrice Mgumiro mbuzi tatu(3), kilo 150 za mchele na lita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMEME BEI JUU JANUARI MOSI

Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika Januari, Mosi 2013Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTENDAJI KAZI WA MBUNGE WA LUDEWA-CCM FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WAPIGA KURA...

 Mbunge Filikunjombe kati  akipokea  zawadi ya  mbuzi  kutoka kwa  mkazi wa manda huku mkewe Habiba  akishukuru Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia  baada ya  kupongezwa kwa  kubebwa mgongoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la...

 Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate  kwa waumini wa Kanisa la Anglikana  baada ya kupewa Daraja la Ukasisi   katika Kanisa la Anglikana lililopo  Mkunazini mjini Zanziabar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Azindua Rasmi Jengo jipya la Kiwanda cha...

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo jipya la Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar na Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Katika Hafla Ya Kukabidhiwa Rasmi Ya Katiba Kwenye...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba mara baaada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Hall kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Picha ya Mwisho Kupigwa IGP, Said Mwema akiwa ni Mkuu wa Jeshi la...

Picha juu ndio picha ya Mwisho kupigwa IGP, Said Mwema akiwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. Picha hii ilikuwa jana katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Picha na Mroki Mroki

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK amteua Ernest Mangu IGP mpya

Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu,Na Mwandishi Wetu,MwananchiRais Jakaya Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.Taarifa iliyotolewa jana usiku na Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sasa Soma Kwa Makini Rasimu Yote Ya Katiba Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akipokea rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMAA AKWEA JUU YA MNARA WA SIMU UBUNGO AKATAA KUSHUKA HADI AONANE NA RAIS...

  Jamaa mmoja ambaye jina lake halijaweza kupatikana leo majira ya saa 5 na nusu asubuhi alipanda juu ya mnara wa kampuni ya simu Vodacom mkabala na ofisi ya Tbs,alipokuwa juu ya mnara alikua na picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

Marehemu Dkt. William Mgimwa.…

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP ERNEST MANGU, NAIBU WAKE WAAPISHWA NA JK, DAR

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Ernest Mangu, kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu, Jumanne jioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI...

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKWASA, PONDAMALI, KUINOA YANGA

Uongozi wa Young Africans SC umepata warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa, Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato kumpata kocha mkuu ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAKWAYA ARUSHA WALIPULIWA KWA BOMU

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.WANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE ZITTO KABWE AIBWAGA CHADEMA KATIKA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

 Zitto Kabwe akiingia mahakama Kuu Dar es Salaam.   Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe (kulia) akitoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Aupokea mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr....

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa  aliyekuwa  Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege  wa Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa ajili ya mazishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CHADEMA YA KUWAVUA UANACHAMA DKT.KITILA MKUMBO NA SAMSON...

 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa--- CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO UTANGULIZI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ilikaa kikao cha dharura ili kupokea, kujadili na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafuasi wa Chadema watwangana tena Dar

Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live