Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila (kushoto) akiwa na wafanyakazi wenza katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto…
↧