Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6864

DK. THOMAS KASHILILA- ATANGAZA WAGOMBEA WA NAFASI YA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila (katikati) akitangaza wagombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 ambapo kwa mujibu wa Dr. Kashilila wagombea hao ni kutoka vyama nane vya siasa,Kushoto ni John Joel Naibu Katibu Mkuu wa Bunge na kulia ni Nenelwa Mwihambi Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge.
Jinsi wabunge watavyokaa kuanzia kesho wakati wa Bunge la 11 litakapoanza

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6864

Trending Articles